Wanawake Wananichosha Hapa Tu..!!

Alafu mkuu naomba siku uje utoe mada kuhusu baadhi ya wanaume kujifunza usafi kuanzia nguo ya ndani,hd mwili jamani,mim juzi nilipand bas sasa nilikuwa nimekaa kweny kiti sasa bas limejaa san alafu pemben yng kuna kijan kasimama sasa ile bas linaend huku n huku yule kaka anafanya km kuegemea upande wangu yani harufu niliyokuwa naisikia huko sehem za siri nilisikia tumbo linanivuruga sana ikabidi niteremke makumbusho nimsubir nimtu anifate,ht km somo limenipita km umelitoa bs naomb uliludie,usafi muhimu maana unawez ukadhan panya kafia ndani ya chupi,na wakati maji ya kuoga mtu unayo na sabun ya magadi zipo..uwaambie maan sio kutuonea sisi
 
Unanikumbusha dada mmoja muumini mzuri sana wa dini flan, pale Ubungo. Huyu alikua anakesha kanisan, anasali mpaka analia machozi. Pia amekua anaombea watu na wanamshukuru,
Mara nyingi amekua anashauri Mambo mema, na mm nilikua namtegemea sana kiushauri.
Katutapel milioni moja na simu kabiblock tokea mwaka jana Mpaka Leo hii
 
Usifanye mchezo na hela wewe.... Wanawake rafiki yao sio sisi, rafiki yao ni hela
 
Usijali, nitawakumbusha, alafu huwa siwaonei bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…