Wanawake Wananichosha Hapa Tu..!!

Ukitaka kujua mkeo hakupendi mtanie Mwambie siku ukifa yeye atarithi kila kitu na pesa iliyoko Benki... Hata km huna pesa benki. Akitabasamu kwa kauli yako hiyo ujue huna mke hapo na akisikitika ujue anakupenda sana hataki akupoteze
bingo[emoji122]
 
Mie siombi afe ili nirithi.., ila namuombea uzima aendelee kuzitafuta ziendelee kuwepo za kutosheleza matumizi bila kujibana
 
Kuna watoto wajingawajinga kama wanne iv sisomagi nyuz zao ukiwepo wewe maana mmejaa ujinga na matope kichwani
 
umaezidisha sasa,hakuna mwanamke wa kulia kukuombea ufe ili arithi nyumba,labda umeoa shetani ukafananisha na binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…