Wanawake Wananichosha Hapa Tu..!!

Hivi wanawake wameumbwa na Udongo wa Rufiji au vipi maana ukimpenda sana anakuona boya, Ukiwa nae karibuu muda wote anasema jamaa lina wivu too much, Ukimlia bati kama humuoni anasema you dont care, Ukiwa mtata
anasema you are so harsh na you are not loving.

Sasa tuwafanyeje jamani, huu ubavu mlioumbwa ulikuwa wa mwanaume au ubavu wa ndama jike?
 
Ishi na sisi kwa akili. Lia bati kidgo wivu kiasi mtata kiasi. Mshaambiwa ishini na sisi kwa akili we sijui unatumia nn
 
Ishi na sisi kwa akili. Lia bati kidgo wivu kiasi mtata kiasi. Mshaambiwa ishini na sisi kwa akili we sijui unatumia nn
Nanyinyi mmeambiwa muishi nasisi kwa papuchi? Au
 
Mtaje mbona kama namjua mi mwenyewe kanitapeli hela nyingi tu, nadhani atakuwa ndo huyohuyo. Halafu anaonekana mlokole kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…