Wanawake wananigombania, nisaidieni kutoka katika hili. Nimejitahidi, nimeshindwa

Kwenye malezi wazazi/walezi wako hawakukufundisha kusema hapana. Tabia zako zingine mbaya lazima ni uongo, kutokutimiza ahadi na uchafu.

Ni dalili ya kutokujipenda na kutokujiamini, bado mapema unaweza kubadilika.
 

Matokeo yenu ya form four yanatoka lini kwani?
 
Waambie una haya;
1. Ngoma
2. Kisonono sugu
3. Kaswende sugu
4. Gono sugu
 
Wakikufata waambie ww n shoga unapelekewa miti sana na unaipenda, hapo watakuacha.
 
Kuna siku nimekula mara 3...........? Toa ufafanizi kwa hii kaul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…