Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

Kwanza nashukuru iam humbled kwa kweli🙏💪.
👉 But hii hypocrisy Ime Anza lini Manyanza 😁🙄.
👉Au ume chagua character ya wema😁😂, ili bibie ajue we huna baya😁😂😂🏃
Yaani humu JF Nina zaidi ya Miaka 13 Mimi humu ni Msomaji sana na sina hata vurugu angalia hata threads zangu nilizoanzisha 😀😀😀
 
Yaani humu JF Nina zaidi ya Miaka 13 Mimi humu ni Msomaji sana na sina hata vurugu angalia hata threads zangu nilizoanzisha 😀😀😀
Wewe nime ijua mbinu yako😂😁, huna vurugu Afu Ume nipiga 😂😁
😂😂😅 Kijana wangu huyu Miss Aaliyyah humuwezi aiseee maana wewe ni complicator sana na hujui ni nini yeye ana …………………..
Endelea kujifunzq sana kumuelekea 😅
Dah hii technique ni next level violence 😁😁😂
 
Broo Si ulikataliwa kwa kuwa hukua chaguo la kwanza hata huyo Binti akifikisha miaka mia Hilo halitabadilika
 
Dah sijafikiria kama unaweza kuwa na fikra hasi kunielekea Mimi, Nakuelekeza tu nenda kwa step wewe ni Complicator sana yaani unayaonea wivu mpaka maandishi? 😅😅😅
Wana zuoni Wana msemo, "why are you fighting guys🤔.
👉 Don't you know words cuts, like a viking sword😁😁"
 
Vijana wanazingua sana aisee, wao kwa vile ni wadogo walisongeshe na watoto wenzao, hizo ages watuachie kwanza wasiwasumbue.
Baadae kutakuwa na Wazee wa hovyo sana maana hiki kizazi cha vijana wa leo ni miyeyusho sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…