Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

Mtoto wa mtu akijitoa kwangu namganda kama wengine siwaoni vile. Hisia za Mwanamke sio za kucheza nazo kabisa,hawakawii kupata magonjwa ya akili hawa kisha kudevelop tabia za ajabu ajabu[emoji3]
 
Hahahaaa mtata sana wewe kyutkyut[emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Afu wewe nimekuona pm tuma vocha nikujibu msg yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi situmi vocha natuma vifurushi tu chagua kifurushi unachotaka nilipie.[emoji817][emoji817]
 

Tulia wewe, wakikosekana wa kutuoa tunajioa wenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Usikute tamaa bidada who knows?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…