Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

Ni hatari sanaa.
Wengi wameona mda umeenda na bado hamna hata anayesema tukaanzishe familia
 
Basi Manyanza nime kubaliπŸ™„, she is yourrrrrrrπŸ€’
πŸ‘‰Mpaka ana sema nakuogopa, hi ni jeuri nzito Kama chapati iliyo kosa mafutaπŸ€’πŸƒ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜… Kijana wangu huyu Miss Aaliyyah humuwezi aiseee maana wewe ni complicator sana na hujui ni nini yeye ana …………………..
Endelea kujifunzq sana kumuelekea πŸ˜…
 
Intelligent businessman ana akili sana na huwa nafuatilia baadhi ya threads zake ni moja ya Vijana wenye upeo wa juu. 😁
Kwanza nashukuru iam humbled kwa kweliπŸ™πŸ’ͺ.
πŸ‘‰ But hii hypocrisy Ime Anza lini Manyanza πŸ˜πŸ™„.
πŸ‘‰Au ume chagua character ya wemaπŸ˜πŸ˜‚, ili bibie ajue we huna bayaπŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜… Kijana wangu huyu Miss Aaliyyah humuwezi aiseee maana wewe ni complicator sana na hujui ni nini yeye ana …………………..
Endelea kujifunzq sana kumuelekea πŸ˜…
Dah nilijua tu hii ni mbinu😁😁
Intelligent businessman ana akili sana na huwa nafuatilia baadhi ya threads zake ni moja ya Vijana wenye upeo wa juu. 😁
Crediting me at first, halafu una nipiga makofi hadharani πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ€’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…