Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

Wanawake wanaofika miaka 30 na hawajaolewa wanajishusha sana kiasi cha kushangaza, zile nyodo na kujiona matawi zinayeyuka

Hakuna lolote, K zao zimetumika weee, wanabakiwa na mabwawa tu, hata ladha hawana, wenye miaka 20-25 ndo mnato, watamu kishenzi, tatizo lao ni hilo tu, visumbufu, utoto mwingi sana.
Hivii wotee waliofikaa miaka 30 wanakuwaa wametumikaa Sanaa?...mbona Kama unajumuishaa mamboo...
 
Usitutishe bana weeeeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na sie tutafuta wa pesa zetu
Ukizipata hizo hela nipo paleee nakusubiri mdada mzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji182][emoji182][emoji182][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Barikiwa sana,halafu ndoa sio kila kitu jamani dooooh ingawa ikiwepo inaongeza namna,nafahamu wake za watu ambao wanajiuza na hawana habari, sijawahi tamani ndoa kwa kiwango cha kujidharau kua kwanini sijaolewa, tena naonaga am so happy kuliko baadhi ya waliolewa aseee[emoji28][emoji28][emoji28]
Mungu Akulinde Kipenzi ...

Live your life...

Know your worth...

Be happy....
 
Ukizipata hizo hela nipo paleee nakusubiri mdada mzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji182][emoji182][emoji182][emoji3590][emoji3590][emoji3590]

We Mario? Utaweza vigezo na masharti?
 
Hivii wotee waliofikaa miaka 30 wanakuwaa wametumikaa Sanaa?...mbona Kama unajumuishaa mamboo...

Tatizo mnaanza tumika kuanzia kwenye kombolela
Mkifika form 2 ndio ucharuko form 4 ndio usiseme,na mkiingia mtaani hapo ndio zoa zoa mwenye pesa anakula
Handsome anakula
Cjui crush anakula
Bado mechi za kimasihara
Unakuta mpk 25 kama hajielewi bhc kashatembeza xnaa
 
We Mario? Utaweza vigezo na masharti?
Tafta hela kwanza mambo mengine baadae yatajiseti tu kama mkataba wa DP WORLD[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3531][emoji3531][emoji3531][emoji817]
 
Tafta hela kwanza mambo mengine baadae yatajiseti tu kama mkataba wa DP WORLD[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3531][emoji3531][emoji3531][emoji817]

Sitaki bwana mfupi km kikombe cha kahawa

Ana kitambi km jeneza la mtoto

Bichwa kubwa km debe la unga la UN

Vidole vibaya km tangawizi

Akicheka sauti km radi la sumbawanga

Sura imegwaduka km avatar ya NALIA NGWENA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nikiwa Mario wewe utakuwa Paula sijui nani anampaga hela mwenziwe, tafta hela mdada mzuri[emoji182][emoji182][emoji182]

Afu wewe nimekuona pm tuma vocha nikujibu msg yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo mnaanza tumika kuanzia kwenye kombolela
Mkifika form 2 ndio ucharuko form 4 ndio usiseme,na mkiingia mtaani hapo ndio zoa zoa mwenye pesa anakula
Handsome anakula
Cjui crush anakula
Bado mechi za kimasihara
Unakuta mpk 25 kama hajielewi bhc kashatembeza xnaa
Heeee kumbeee
 
Nawaheshimu wanaume sana, binafsi maringo yameniponza kwaio huaga simlaumu mtu hata, wapo wanaume wazuri na wapambanaji niliwaumiza sababu ya maringo, Kuna umri jamani acheni tuuu, ni maombi ya wazazi na kumjua Mungu sana,na busara itumike....

Hua nashukuru kwa baraka chache nilizopata maishani, naombaga Toba kwa wale wanaume waliomaanisha kwangu na nikawaumiza, I hope wapo na furaha, nami napambana kutafuta furaha yangu....mekosa ndoa ila naamini vipo vingi vya kunipa furaha...am happy, am blessed ...

Hongera kwa hii mada, mabinti mjifunze....
 
Well said, ndoa nyingi zenye utata ni za vibint vya 20 ' s up to 26 hapo....vinaolewa coz rafiki zake wanaolewa,akishaingia ndani hajui majukumu yake kama mke, mke wa mtu club zote yupo, kitchen party zote mjini yupo,baikoko yupooo, magrup ya watsaap p tisa, sijui ma x Kama wote, hiyo ni ndoa au ndoano
Kwa hiyo wanaume tuoe wanawake wenye umri gani Just Nana
 
Maana lazma ujue kutofautisha kati ya ndoa na harusi, harusi ni siku moja ...mnacheza kwaito sijui amapiano imeisha iyo, ndoa ni milele, huyo binti atakuwepo katk nyakati zote?
 
Back
Top Bottom