Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Piga chini kama huna ndoa kma una ndoa jipange kunyang'anywa kila kitu, yani ukiwa na ndoa kesi inageuzwa ww ndo ulitaka kinyume ili akufilisi , kijana kataa ndoa ili kesi kama hizi uzimalize kibingwa.
Anaanzaje kukufilisi ilhali mali zina majina yako? Wewe utakuwaje bwege mpaka ajue investment zako zote?
 
Kiukweli cha kusema ni kwamba hauwez kumuxhukulu kuwa mtu ni shoga hàta kàma utajua hautakuwa na ushaid wa kutoshà kwahyo kikubwa ni kuwashauli ambao hawajaanza hiyo tabia wasijalibu na wasiige tabia za wenzetu
 
Na wale wanaume lijali wanaowaingilia mashoga yaani mabasha si ndio chimbuko la shida yote ya ushoga? Ukweli mtu hazaliwi shoga ila akiwa mtoto au kijana mchanga anapata bahati mbaya kuingiliwa na hawa wafiraji. Wakisha mzoesha basi mtoto au kijana kashaharibiwa.
Naona jamii iangaze macho kwa hawa mabasha na kuwabaini ili watupwe jela mahali wanastahili kuwepo. Vinginevyo watoto na vijana wako hatarini.
 
Kila siku nasemaga Mabasha ndo wakamatwe, hawa ndo wanaharibu jamii, wanaachwa ndo wansazidi kuongeza wigo wa ushoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…