Hakika hili swala , nilimsikiliza BINT MALKIZ alichoeleza ni kitu makini sana.
Yeye katengwa na jamii yake sababu ya U TOMBOY!! na katengwa zaidi baada ya kuingia KANISANI.
LKN yy hana chuki na familia yake anasema amewasamehe sababu WAMEKOSA ELIMU.
Na anasisitiza jamii yetu inakosa ELIMU. Anaomba serikali izidishe mkazo kwa jamii juu ya hii Elimu ya mafunzo ya familia.
Anasema wapo watu wanafanya matendo ya ushoga kwa TAMAA zao za KIMAISHA kupenda slope.
Lkn wapo ambao wameharibiwa wakiwa WATOTO hawajui chochote , hawa ni kuzidi kuwaunga UKUBWANI kwa matendo ya USHOGA.
Hii DUNIA kama kungetokea MASHOGA wakusanywe na kila shoga aeleze kwa ukweli na dhati ya moyo wake. ALIFIKAJE katika hali hiyo.
Wako watu ambao wananyazifa kubwa, wanaheshimika na jamii, viongozi wa dini, wazazi bora, Matajiri wakubwa, wafanyabishara wakubwa, wasanii wakubwa.
Tungewapiga MAWE kwa uchafu waliofanya mpaka leo tunalalamika juu ya hali hii ya ushoga na mambo yanayofanana na HAYO.
VIBINTI vidogo vinalawitiwa na viongozi wetu. Wazee wamechoka pesa inawatuma na kushawishi kuharibu mabinti MARINDA YAO.
MASHOGA wahojiwe HADHARANI majina ya waliowaanzishaa na wateja wao , jamii ITAPASUKA .
MVUA itanyesha , radi zitapiga pasina msimu wake.