Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika



"najua watu watabisha tu"

Sikuwa na Mpango wa kuisha, ila kauli hii na wewe ni wale wale.
 
So, Mungu akiondoa gays dunia itakuwa free from sins and safe au hahaaaa
Ushoga sio tatizo kwa wadini tu bali hata kwa wana.sayansi.

Kila kitu hapa duniani kikifanywa kinyume na nature yake lazima iwe tatizo.

Nyoka ni wabaya ila nyoka wakitoweka duniani lazima iwe shida.

Miti ikipungua duniani lazima iwe shida.

Idadi ya wanaume wasio mashoga ikipungua lazima iwe shida na shida hiyo tutaipata wanadamu wote ikiwemo na mashoga wenyewe.
 
Kama una ndugu mwenye hyo ishu ni pm
Sina yeyote ila kuna my coworker one day tulisafiri tukakosa two rooms ikabidi tushee dabo.Usiku akiwa usingizini,sijui alikia anaota au sijui ilikuaje ila nilimuona akijifanyia vitu vilivyofanya niutilie shaka uanaume wake japo ana mke na watoto.
Sidhan kama anajua nilimuona ila tokea siku ile nimekua namuonea huruma sana.Ni mtu mwema sana na mwenye kujali ila kama ni gay sijui nini imemsibu akawa hivyo.
Nimefunga siku 3 kwa ajili yake na nimejiapiza kutomsema popote wala kuacha kumheshimu
 
Kwa sasa huo ndio umesha kuwa utamaduni wanafirwa sana hawa dada zetu
 
Kizazi hiki sijui kama kitafika miaka 1000 mbele.
Sad
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…