Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Kumuingilia mwanamke inakuwa ni jinsia moja kwani?
 
Haupo ni ushoga tuu
 
Sawa kuna baadhi ya watu, wanakemea ushoga lakini wanafanya mchezo huwo kwa wanawange ndio lengo LA Uzi.
Vyovyote vile,hairuhusiwi,wakemee wafanye kwa wanawake,wakemee wafanye kwa wanaume wenzao .mwisho wa siku ni dhambi tu.si unakumbuka Sodoma na gomorrah?mungu aliwatia kiberiti.sababu ya uchafu huu.kama unafanya fanya.ila si unajua kwake tutmetoka na kwake tutarudi?na siku za kuishi kwa kiumbe aliyezaliwa na mwanamke NI CHACHE?
 
Ngoja nikueleweshe mkuu,

Kama watu wawili wamekubaliana kufanya hicho kitendo bila kulazimishwa, sioni tatizo. Hata hivyo ukifikiria, hakuna namna ya kuwazuia.
Sawa nime kuelewa, kama mwanaume ape pata ujasir wa kumuingilia mwanamke siku aki kosa mwanamke na kasha zoea mchezo huwo hato onashida kumuinamisha mwanaume mwenzie ndio unafki nao uzungumizia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…