Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Lengo la sex ni kuzaliana.
Mwanzo 1:28 Mungu akawabariki na akawaambia, “Zaeni na mkaongezeke, mkaijaze tena dunia na kuitiisha. Mkatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kiendacho juu ya ardhi.”

Maswali yako mengine yanadhihirisha wewe sio mtu wa dini ila umefuata kile ulichowakuta nacho wazazi wako.

Unaomba huku unasex?? Una nidhamu kweli wewe??
madhara ya kuzini huyajui??
Chalii yangu unazingua.
We dini gani kwani??
 
 
Ungeendelea nakumbuka nilikua na manzi moja huyu alikua hataki niende kazini asbh tu picha linaanza kavuruga ubongo ukifika job kero alooo mbn nilichokua nimekaa nae miaka Saba penzi lilichuja ilo siku namwambia nimechoka mapenzi yakuniganda kama luba nakosa mda wakujijenga kiakili ku forcus na mmbo ya muhim kwenye Maisha yetu kwaufupi alikua mtu anapenda mitandao sana anataka apostiwe mda wote kilichokuja kuboa zaid ukilala anaamka nakuanza kukagua sim nakupigia watu asiowajua akidai ni madem zangu alooo nibunujikwa pakubwa nikanyoosha Mikono hivyo aliekuja kukosea mazima kapigia sister zangu nakuanza kuwatukana matusi mazito nilichokua nakumwambia safari tuumalize tu, 🤣🤣🤣
 
swala la kujamba na kutoka haja kubwa kwa wanawake wakati wa kujifungua ni suala la kawaida usilihusishe na hayo maswali, punguzeni propaganda za uwongo kwenye mambo yanayohusu jamii kwa njia moja au nyengine.
Mambo ya mtaani radio mbao hawataki watu wafaidi, mara ooh unakuwa unajambajamba mbona mm nipo kawaida san
 
Wapo wanaotoa kwa siri sana, raha ya jicho liliwe kwa siri ukizingatia usafi mwingi, yaan dyudyu inafurahia jamani kuchekecha
 
Ni hatari hatari hatarias sanaaa halafu wengi wananuka mbaya hao watoa jicho ni aibu. Ukimgeuza upige dog style unakutana na harufu la matopeni daah nimechoka na haya mambuzi.
Sio woteee hujakutana na mnato jamani eeh jmn hadi raha,
 
Wala hakuna hata gia, siku hizi kuna sign tuu unajikuta unazama bila kujua ili uweze kutekwa, mapenzi ni ubunifu
 
Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile, ni dhambi, wanaume pia wanaowaingilia na hata wale wanaoingiliwa, ni dhambi. Biblia imekataza na wote hao hawatauridhi uzima wa milele.

1. Warumi 1:26 - 27, For this reason God gave them up to vile passions. for even their women exchanged the natural use for what is against nature. likewise also the men leaving the natural use of the woman, burned in their lust for one another, men with men committing what is shameful, and receiving in themselves the penalty of their error. SWAHILI: WARUMI 1:26-27, 26 Kwa hiyo, Mungu aliwaachia wafuate tamaa zao za aibu. Hata wanawake wao waliacha matumizi ya asili ya maumbile yao wakatumia miili yao isivyokusudiwa. 27 Hali kadhalika wanaume waliacha uhusiano wa asili kati ya waume na wake wakawakiana tamaa wao kwa wao. Wanaume walifanyiana mambo ya aibu, nao waka pata katika miili yao adhabu waliyostahili kama matokeo ya uovu wao.

2. 1 Corinthians 6:9 - 11, Do you not know that the unrighteous will not inherit the Kingdom of God? Do not be deceived. Neither fornicators, nor idolaters, nor adulterers, nor homosexuals, nor sodomites, nor thieves, nor cavetous, nor drunkards, nor revilers, nor extortioners will inherit the Kingdom of God. And such were some of you, but you were washed, but you were sanctified, but you were justified in the Name of the Lord Jesus and by the Spirit of our God. SWAHILI: 2WAKORINTHI 6:9-11 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi Ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi. Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii; lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika Jina la Bwana Yesu Kristo, na katika Roho wa Mungu wetu.

CONCLUSION: sitaki kuandika mengi, ila napenda kuwafikishia ujumbe kwamba, ninyi wanawake mnaofirwa, na ninyi wanaume mnaofira na ninyi wanaume mnaolawitiwa (mashoga), Neno la Mungu linasema msidanganyike, hamtaurithi ufalme wa Mungu. labda kama mkibadili njia zenu, kwa kutubu kumaanisha kuacha dhambi, na kuzigeukia njia za Bwana. Mungu kasema kabisa msidanganyike, ukifa na dhambi hiyo bila kutubu na kuiacha, hautaurithi Ufalme wa Mungu. Mungu awabariki.
 
Hallelujah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…