Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Jamii ya Kitanzania ni ya kinafiki mno

Karibu 100% ya wapumbavu humu wanafanya ushoga according to their comments herein

Cha ajabu ukiwakuta kwenye threads za siasa na USA/Russia yanapanua madomo yao eti yanapinga ushoga kumbe manafiki matupu

Kama jamii tuna unafiki kiwango cha lami...

Ndio maana Tundu Lissu watu wanamkubali sana kama statesman wa nchi....anasema "kama wanadamu hatujui wala hatuna haki ya kufatili kinachoendelea vyumbani mwa watu kati ya wanadamu wawili watu wazima wanachofanya"

Cha ajabu ukikutana na taahira kama Mzabzab kwenye thread za CCM huko anatanua meno "kama nchi hatutaki mashoga" ..."kama nchi tuue mashoga wote" na kumbe lenyewe shoga namba moja
 
Mtu yeyote anayefanywa nyuma anavunja sheria za asili na za Kimungu.

Mwanaume shoga/anayefanywa kinyume na mwanamke anayefanywa kinyume wote ni walewale.

Kama mwanaume na akili zako timamu unaweza kumfanya mwanamke kinyume na maumbile usiwadharau mashoga wa kiume, hao pia ni wake zako.

Jamii inapokemea mashoga isibebe picha za wafanyaji kinyume na maumbile wanaume tu, wapo wanawake pia tena ni maelfu kwa maelfu nao wakemewe ikiwezekana watengwe.

Sheria za Tanzania mapenzi kinyume na maumbile ni mwiko kwa jinsia zote.

Na ndoa yoyote inakuwa batili pindi tu wanandoa wanafanya kinyume na maumbile.

Mbona hili jambo kama linakusumbua akili sana? wamekuingilia au mkeo kasharukiwa dirisha??…
maisha magumu lete idea za ela ww
 
nimesema vile kwa kuwa amevuka mipaka mungu kamuumba binadamu akiwa na free will cha kufanya chochote anachojisikia akitaka kukufuru sawa akitaka kufanya wema ni sawa na tambua kuwa kiumbe ata kifanye dhambi kwa ukubwa na wingi gani bado icho kiumbe akiwezi kupunguza uhungu na utukufu wake anachoamua yeye ndio utokea
Basi kama ni hivyo simamia kutangaza injili sio kusimamia kuongelea dhambi ambayo haitaokoa watu
wafundishe watu umuhimu wa mungu kumtii na kumfuata nakujua kanuni zake alishajua yeye binafsi atajua asimame katika msingi gani
 
Back
Top Bottom