Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

20220531_214454.jpg
 
Mimi natamani nijue chanzo hadi haya mambo kuonekana ni ya kawaida na wanaume wengi kufanya ndio lifestyle na wanawake kuona ni kitu Cha kawaida?
Kwa Tanzania hii bara na visiwani chanzo ni waarabu na tamaduni zao..binti yuko radhi ato mk...u ili kulinda bikra.

Chanzo kingine baada ya huu utamaduni wa waarabu ni njaa/tamaa na umasikini.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mimi natamani nijue chanzo hadi haya mambo kuonekana ni ya kawaida na wanaume wengi kufanya ndio lifestyle na wanawake kuona ni kitu Cha kawaida?
Ni fantasy na fashion kwa baadhi watu, maana sio wote wanaofanya haya mambo

Tatizo Bongo unafiki mwingi, lol.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom