Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
We fanya hivi we ishi nae alafu nipe namba zake za simu ili nimkataze nakuahid hata kusumbua tena nina uzoefu wa kuwakataza kuna jamaa mke wake alikua anamsumbua hivyo hivyo Ila alivyonipa namba zake jamaa ananishukuru anasema sijui nimemfanya nini mke wake sahiv anaridhika kabisa hata asimpomgegeda wiki
Liongo wewe