Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hakuna mkamilifu duniani kila mmoja utamkuta na kasoro yakeKwaiyo Unamshaurije Mshana Jr
Kikojozi
M'mbea
Rohombaya
Mchawi
Mchoyo
Mchafu
Chupi mkononi
Mbinafsi
Mvivu
Hajui kupika
Mchonganishi nknk
Unakuta ana kila kitu unachotaka lakini anakuwa na kosoro moja tu kati ya hizo..
Kuna kasoro zinarekebishika, kuna nyingine hazirekebishiki kwahiyo unaangalia mazuri yake na kama kasoro alizonazo zinavuumilika unasonga naye mbele