Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,551
- 9,522
Hamna nyie ndo mnaanza ile 'eti unanipenda kweli,' then unamwambia kama kweli akupe huo upumbavuKweli mwanamke akikutunuku hicho kitu anakupenda sana na kukuthamini, so take it
Ndo maana nikasems MUNGU asimame na wanawake awafumbue macho na kuwapa misimamo thabiti, haypmambo yana hasara nyingi kuliko faida, na hizp fake orgasm zenu mkishapizi wat nextt???????
Anyway