Ukishapoteza focus ni shida mkuu, hata ng'ombe akikaa mbele hapo unalamba tu........yaani tatizo lipo kwenye kutumia utashi vile inavyopasa.Rafiki yangu akiwa kusini huko mtwara kuna binti alimwomba buku ten kwakua ni mpenzi wake akaona sio shida akampa 20k binti akafurahi sana, akaipandia kwa juu akaihamisha kusudi baada ya mechi mwana ikabidi ampotezee maana yeye ni mlokole na mambo hayo hajazoea