Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Asubuhi asubuhi mnawaza ngono, vijana kama nyie mna mchango mdogo sana kwa taifa. DP world apewe nchi yote.
 
Mtu yeyote anayefanywa nyuma anavunja sheria za asili na za Kimungu.

Mwanaume anayefanywa nyuma na mwanamke anayefanywa kinyume nyume wote ni walewale, yaani wote ni mashoga.

Kama mwanaume na akili zako timamu unaweza kumfanya mwanamke kinyume na maumbile usiwadharau mashoga wa kiume, hao pia ni wake zako.

Jamii inapokemea mashoga isibebe picha za wafanyaji kinyume na maumbile wanaume tu, wapo wanawake pia tena ni maelfu kwa maelfu nao wakemewe ikiwezekana watengwe.

Sheria za Tanzania mapenzi kinyume na maumbile ni mwiko kwa jinsia zote.

Na ndoa yoyote inakuwa batili pindi tu wanandoa wanapofanya kinyume na maumbile.
Hata kumwomba mke wako makalio hapo tayari ndoa imekuwa haramu, au mke wako akikuomba umfanye matakoni pia hapo mwanaume una haki ya kuvunja ndoa.
Wadada wameamua kwenda nyuma baada ya kuona mashoga wanawazidi kete😀
 
Hii nchi Kweli Ina vijana wa hovyo Kweli.Asubuhi yote hii umeamkia kuwaza ngono jamani 🤔
Asubuhi yote hii....😳
Hili taifa lina vijana wa hovyo sana...🤨

Ila walimwengu kwa kujudge hamjambo

Sasa asubuhi yote hii mmekuja jukwaa la MMU kufuata nini kama na nyie sio kundi moja na sisi tunaowaza ngono

Ujengaji wa taifa si mngeamkia jukwaa la biashara kule
 
Back
Top Bottom