Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Yaani hapo kwa akili yake anafananisha kumuingilia shoga na kumuingilia mwanamke anayependa kuingiliwa kinyume kuna tofauti. Yaani ni sawa na kununua nyama ya ng'ombe mabucha mawili tofauti utegemee ladha isiwe moja.
Mwanamke anaependa kuingiliwa nyuma na Mwanaume anaependa kuingiliwa nyuma wote ni watu wa Jamii moja kwenye maumbile tofauti huyu kaumbwa kwenye umbile la kike na huyu kaumbwa kwenye umbile la kiume Ila wote ni watu wa Jamii moja LGBTQ
 
Hao viumbe wana ushawishi mkubwa usimlaumu jamaa kaabisa, hata ungekua wewe yangukukuta makubwa ungejikuta unaingia kwenye tope
Ushawishi gani? Acheni uongo wenu, tatizo la Bongo wamejaa bisexuals na sio straight.

Hakuna ushawishi wowote, ni nyie wenyewe mnatakaa, ila unafiki unawasumbua.
 
Walitaka wakufukue au uwafukue? Maana hao sector zimegawanyika kuna wanaofukua, wanaofukuliwa na wanaofanya vyote yaan wanafukua pia wanafukuliwa sasa wakikutana wawili wote wanafukua na kufukuliwa wanafukuana tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna girlfriend wangu flani aliambia baby nakuja andaa mafuta nikamuuliza ya nini kaniambia anataka nimle nyuma, yule binti sikuwahi kumla mbele hadi nimeachana nae. Saa hivi ni single mother watoto watatu baba tofauti na anaishi kwao
Ulidumu nae mda gani? Mwezi Wiki Mwaka?
 
Yaani hapo kwa akili yake anafananisha kumuingilia shoga na kumuingilia mwanamke anayependa kuingiliwa kinyume kuna tofauti. Yaani ni sawa na kununua nyama ya ng'ombe mabucha mawili tofauti utegemee ladha isiwe moja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] semeni nyie, nikisema mie naonekana mbayaa.
 
Nataka utofauti wa tendo husika, na nilishajibiwa huko juu.
Tatizo la Wabongo ni UNAFIKI. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tendo ni lile lile tofauti muonekano tu Ila harufu ya tope ni Ile Ile haibadirikagi vaa mask
 
Naomba kuuliza, kumuingilia mwanamke nyuma ni ruksaa?
Au halalii?
Km alitoa ruksa ni ruksa kula kisamvu cha kopo na km kataka mwenyewe ni halali, ukijifanya namna gani wanapelekewa wakali wa hizo kazi wafukue mtaro, una swali uliza
 
Nataka utofauti wa tendo husika, na nilishajibiwa huko juu.
Tatizo la Wabongo ni UNAFIKI. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unawaita watu wanafiki kwasababu unataka kusikia kile moyo unataka sio?
Usiwe hivyo
 
Mtu yeyote anayefanywa nyuma anavunja sheria za asili na za Kimungu.

Mwanaume anayefanywa nyuma na mwanamke anayefanywa kinyume nyume wote ni walewale, yaani wote ni mashoga.

Kama mwanaume na akili zako timamu unaweza kumfanya mwanamke kinyume na maumbile usiwadharau mashoga wa kiume, hao pia ni wake zako.

Jamii inapokemea mashoga isibebe picha za wafanyaji kinyume na maumbile wanaume tu, wapo wanawake pia tena ni maelfu kwa maelfu nao wakemewe ikiwezekana watengwe.

Sheria za Tanzania mapenzi kinyume na maumbile ni mwiko kwa jinsia zote.

Na ndoa yoyote inakuwa batili pindi tu wanandoa wanapofanya kinyume na maumbile.
Hata kumwomba mke wako makalio hapo tayari ndoa imekuwa haramu, au mke wako akikuomba umfanye matakoni pia hapo mwanaume una haki ya kuvunja ndoa.
Pitia simulizi ya chini hapo utajuwa nani ni mwanamke shoga nani ni malaya na nani ni kahaba:

 
Back
Top Bottom