Wanawake wanaojiona intelligent, top shelf doll, beuty with Ego na wanaume wa hovyo ni destiny pack

Eti jibu langu nasubiri litokane na jina la dini yako, nani kakwambia nina mpango wa kujibu swali lako la kipumbavu? Yaani kama kuuliza issue binafsi ni upumbavu, mbona wewe umeniuliza dini yangu ambayo ni kitu binafsi, inamaana swali lako nalo ni la kipumbavu?

Kama kutaja mambo binafsi ni upumbavu, mbona ulitaja umri wako kuwa ni miaka 28 na ni jambo binafsi, je ulikuwa unatoa maelezo ya kipumbavu? Au kutaja umri wako binafsi ni swala la public (general issue)?

Umeona jinsi ulivyokuwa hujui hata kujenga hoja afu eti ndo unajiita msomi wa chuo kikuu? Hiyo degree uliyoipata itakuwa ni degree ya chupi siyo siri, chuo gani hicho kinachotoa watu walio wavivu wa kufikiri?

Nilikuruhusu uniulize swali nilifikiri angalau una akili, na hii ni mara sijui ya ngapi naeleza kwanini siwezi kupata muda wa kujibu swali lako la kitaahira, umetaja dini mbalimbali afu umesema huziamini, afu unataka nitaje iliyo sahihi miongoni mwa hizo usizoziamini, unatakaje kujua iliyo sahihi ilihali zote ulishasema huziamini? Inamaana hata jibu langu hutoliamini, maana nitataja dini ambayo ulishasema huiamini, sasa si nitapoteza muda wangu wa thamani? utaahira wako ndo upo hapo sijui kwanini unashindwa kuushtukia, na sijakulazimisha utaje dini yako au taarifa zako binafsi, hutaki acha.
 
Hivi wewe una matatizo ya akili au nini kwahiyo mimi kutaja umri wangu maana yake ndio natakiwa kutaja kila kitu changu binafsi mimi ndio naamua ni taarifa gani inayonihusu niiweke wazi, na ipi nisiiweke wazi na inategemea naiweka wazi kwa nani na kwa sababu gani sasa wewe unataka unipangie kwamba kisa nimetaja umri wangu, basi natakiwa kutaja na dini yangu na mwisho wa siku utanilazimisha nitaje na jina langu na nikikataa napo utasema sina hoja kisa nimekataa kutaja jina langu hivi unasoma kweli hizi pumba zako

Mimi sijakulazimisha kutaja dini yako na upumbavu siyo kuuliza personal question ila upumbavu ni kuendelea kuuliza hilo swali binafsi na kulazimisha mtu akujibu ilihali ameshakataa wewe whether utaje dini yako au usitaje haihusiani na hoja yangu, mimi hoja yangu inabaki pale pale dini ipi ni ya ukweli na dini ya ukweli haihusiani na mtu kuiamini au kutokuiamini sasa unataka kusema ili dini iwe ya ukweli ni lazima mimi niiamini, yani sijaelewa uhusiano wa dini kuwa ya ukweli na mimi kutokuamini kwani wewe ni maswali mangapi unaulizwa na unajibu bila kujali kama hilo jibu lako watu wataliamini au la

Wewe sema tu kwamba huwezi kujibu na huna hoja acha hivi visingizio vyako vya kipumbavu yani unatafuta kila aina ya kichaka cha kujificha ili mradi tu ukwepe hoja mpaka unaingiza mambo ya usomi sijui degree za chupi sasa nani kaongelea mambo ya degree hapa, au kwa vile ndugu zako wa kike wote wamepata hizo degree za chupi basi unadhani kila mwanamke anafanya huo ujinga haya wewe uliye msomi mbona unashindwa kujibu hoja straight badala yake unaleta personal attacks, unarukaruka tu kama bisi kikaangoni mara sina dini mara mshirikina mara nina degree za chupi yani hata hueleweki unaropoka tu hovyo mimi umeona wapi nimekuattack wewe binafsi hivi hata mtu akisoma haya majibizano yetu hapa nani ataonekana msomi na anajadili mada kisomi na nani ataonekana mpumbavu
 
Mimi na wewe nani and matatizo ya akili, nani wa kwanza kujenga hoja kuwa "kuuliza personal issue ni matatizo ya akili"? Na hii ni mara ya tano nakwambia hilo swali lako ni la kijinga sina muda wa kulijibu, sasa kama nikitaja dini ya kweli afu huamini, itasaidia nini? Mbona hutumii akili wewe? Msomi wa wapi? Afu nikishaitaja afu huiamini, then what? Huko si ni kupoteza muda?
 
sasa kati ya mimi niliyekuuliza general question na wewe uliyeniuliza personal question nani kauliza swali la kipumbavu ndio maana nakuambia wewe sema tu kama huna hoja usilete visingizio vya kitoto
Huoni hicho ulichojibu?
 
upumbavu siyo kuuliza personal question ila upumbavu ni kuendelea kuuliza hilo swali binafsi na kulazimisha mtu akujibu ilihali ameshakataa
Ona na hizo pumba unazoongea zinavyokinzana, ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu.
 
Quote ya kwanza ulimaanisha mimi niliyeuliza personal question ndo nimeuliza swali la kipumbavu, quote ya pili unasema upumbavu siyo kuuliza personal question, sasa mbona unajipinga wewe mwenyewe? Umejiona jinsi ulivyokuwa na matatizo na mvivu wa kufikri?

Na nilichokuuliza, kuwa kama kuuliza personal question ni upumbavu, mbona nawewe uliniuliza personal question yaani jina la dini yangu, so nawewe ni mpumbavu? (Sasa ulivyokuwa hujui hata kufikiria, ukatafsiri kuwa nimesema umenilazimisha kutaja dini yangu) swali nililouliza hiyo ndo tafsiri yake?

Kingine, nikajenga hoja kuwa, kama taarifa za personal issues ni upumbavu, mbona ulitaja umri wako jambo ambalo ni personal issue je wewe ni mpumbavu? (ulivyokuwa na akili ndogo, ukatafsiri kuwa nakulazimisha kutaja taarifa zako zingine binafsi), hiyo ndo tafsiri ya swali langu?

Umejiona jinsi ulivyokuwa hujui hata kujieleza na kujikanganya wewe mwenyewe? Hujui kujenga hoja, sasa hapo nani mwenye matatizo?
 
Wewe ungekuwa unapoteza muda ungeshaacha kunijibu kabisa huo muda unaoandika haya magazeti ungeutumia kujibu hilo swali langu ambalo pengine lingehitaji maelezo mafupi kuliko haya mashudu yote uliyoandika hapa, ndio maana nakuambia wewe sema tu kwamba huna jibu usilete kisingizio cha kupoteza muda kwamba hizi pumba nyingine unazoandika ndio huoni kama unapoteza muda, nimekuuliza ni maswali mangapi unaulizwa na huwa unajibu bila kujali kama hao unaowajibu watamaamini majibu yako kwanini mimi unaniletea hicho kisingizio cha kwamba hutaki kunijibu kisa eti sitaamini jibu lako kwani mimi nisipoamini ndio linakuwa siyo jibu au mbona sijaona hoja hapo
Ona na hizo pumba unazoongea zinavyokinzana, ukiwa muongo kuwa na kumbukumbu.
Wewe hebu jadili hoja acha hizi porojo kwanza si ulishaconclude kuwa mimi sina dini, sasa kwanini unaendelea kulazimisha nikutajie dini yangu, wakati tayari ulishajipa jibu lako kichwani
Kwanza kabisa hilo suala la kusema nimeuliza swali la kipumbavu ni wewe ndiye uliyeanzisha ukasema kuwa mimi kuuliza dini ipi ni ya kweli duniani nimeuliza swali la kipumbavu, ndio nikakuambia kati ya mimi niliyeuliza swali general na wewe uliyeuliza swali personal nani kauliza swali la kipumbavu ukasema oo mbona na wewe umeniuliza dini yangu, mara sijui mbona umetaja umri wako kwahiyo na wewe ni mpumbavu nikakuambia upumbavu siyo tu kuuliza hilo swali personal bali pia ni kulazimisha mtu akujibu hilo swali personal ikiwa amekataa

Sasa sijajua unacholalamika ni nini hapo maana hadi sasa sijaona hoja yoyote uliyojenga kama unavyodai zaidi ya wewe kulalamika tu, ni kwamba unataka niseme na mimi ni mpumbavu kwa kuuliza swali personal kama wewe ili wote tuwe wapumbavu ndio nafsi yako iridhike au unatakaje, sasa mimi nakuwaje mpumbavu kwa kuamua kuchagua ni taarifa zangu zipi za binafsi niziseme na zipi nisiziseme mbona kama unaugua wehu wewe kwahiyo kwa sababu kuna mahali nilikutajua umri wangu halafu hapa nimegoma kukutajia dini yangu ndio nakuwa mpumbavu hivi unajielewa kweli wewe

Ujue wewe hebu acha janjajanja yani unakwepa swali langu kwa kuanzisha mada ya kitoto kama hii kisha unaitumia kama kichaka cha kujifichia halafu nikikuita mpumbavu unapanic mbona kama umechanganyikiwa wewe, hivi walimu wako si walikuwa wanapata tabu kukufundisha kichaa kama wewe hebu jibu swali langu kama huna jibu sema sina jibu siyo kujifanya eti nakupotezea muda, sasa kati ya mimi na wewe nani anayempotezea mwenzie muda hapa basi hicho kichaka cha dini yangu nakifyeka mimi nimeshakataa kukutajia dini yangu na wewe usinitajie yako haya jibu hoja yangu kama huna jibu sema ili nijue kuwa haujui jibu fullstop
 
Wewe ungekuwa unapoteza muda ungeshaacha kunijibu kabisa huo muda unaoandika haya magazeti ungeutumia kujibu hilo swali langu ambalo pengine lingehitaji maelezo mafupi kuliko haya mashudu yote uliyoandika hapa, ndio maana
Mimi sijibu kila swali, najibu maswali yenye mantiki tu, hapa nipo kukuelezea ni kwanini sina muda wa kujibu swali lako la kipumbavu, sasa swali la kwanza tu ndo hilo, yatayofuata si ndo utanipotezea muda zaidi? Dini huiamini, nikikutajia kuwa hii ndo sahihi, itakusaidia nini? Hapo ndo napoona hakuna haja ya kujibu swali lako ambapo hujapaona, UTAAHIRA wako ndo upo hapo.
 
We unamatatizo gani kichwani, si nilishakwambia kama hutaki kutaja sikulazimishi acha tu? Hii ni mara ya pili nakwambia sijakulazimisha, na ni mara ya tano nakwambia ni kwanini sitaki kujibu swali lako la kitaahira.
Wewe hebu jadili hoja acha hizi porojo kwanza si ulishaconclude kuwa mimi sina dini, sasa kwanini unaendelea kulazimisha nikutajie dini yangu, wakati tayari ulishajipa jibu lako kichwani
 
Kwahiyo kuuliza swali la personal ni upumbavu?
ndio nikakuambia kati ya mimi niliyeuliza swali general na wewe uliyeuliza swali personal nani kauliza swali la kipumbavu
 
ni kwamba unataka niseme na mimi ni mpumbavu kwa kuuliza swali personal kama wewe ili wote tuwe wapumbavu ndio nafsi yako iridhike au unatakaje,
Hivi unatumia kiungo gani kufikiria? Hilo ni swali nimeuliza, sijatoa conclusion kama wewe unavyojudge ovyo ovyo bila kufikiria.
 
Yaani akili zako ni ndogo sana, maswali ninayoulizwa na wengine, wanataka kujua, hawajasema kabla kuwa hawataamini majibu yangu, sasa wewe ambaye ulishasema kabisa hutaamini, afu unaniuliza na najua kabisa huamini, huoni ni swali la kitaahira?
 
Sasa una uhakika gani kama nitauliza maswali mengine ikiwa hata hilo moja tu umeshindwa kunijibu
We unamatatizo gani kichwani, si nilishakwambia kama hutaki kutaja sikulazimishi acha tu? Hii ni mara ya pili nakwambia sijakulazimisha, na ni mara ya tano nakwambia ni kwanini sitaki kujibu swali lako la kitaahira.
Sasa mbona umeenda mbali na kusema nimeishiwa hoja kisa nimegoma kutaja dini yangu yani kutaja dini yangu nayo ni hoja
Kwahiyo kuuliza swali la personal ni upumbavu?
Oohh kwahiyo wewe kuuliza swali personal siyo upumbavu ila mimi kuuliza swali general linalohitaji facts na kupima uelewa wako ndio upumbavu, umetumia vigezo gani kuhitimisha kwamba swali langu ni la kipumbavu, maana isije ikawa umeliita la kipumbavu sababu huna jibu na unatafuta namna ya kulikwepa tu
Hivi unatumia kiungo gani kufikiria? Hilo ni swali nimeuliza, sijatoa conclusion kama wewe unavyojudge ovyo ovyo bila kufikiria.
Wewe ulishatoa conclusion acha kujifanya unakana maneno yako hapa kwani siyo wewe uliyesema eti huwezi kujadiliana na mshirikina anayeabudu mababu zake
Yaani akili zako ni ndogo sana, maswali ninayoulizwa na wengine, wanataka kujua, hawajasema kabla kuwa hawataamini majibu yangu, sasa wewe ambaye ulishasema kabisa hutaamini, afu unaniuliza na najua kabisa huamini, huoni ni swali la kitaahira?
Kwanza ni wapi niliposema kwamba ukinipa jibu la hilo swali sitaliamini hebu nioneshe, hivi kwanini unapenda kujump into conclusions na kujitengenezea majibu yako mwenyewe kichwani mwako, wewe huijui dini yangu sasa kwanini unakimbilia kusema jibu utakalonipa sitaliamini una uhakika gani we leta jibu
 
We si ndomaana nikasema taahira anakuzidi akili, wewe si ulisema zamani kuwa huziamini dini zetu hizi? Afu unauliza ipi ni dini ya kweli, dini usiyoamini afu utajiwe kuwa hiyo ndo ya ukweli, kuna logic gani hapo? Hujuoni jinsi ulivyo na matatizo kwenye kufikiri? Taahira wako upo hapo tu afu unajifanya huoni.
 
Hebu soma nilichoongelea kuhusu conclusion niliyoizungumzia kuwa sijaitoa, kisha uje tena uone pumba ulizoandika kutokana na kukurupuka ili uonekane umejibu.

Niliuliza inamaana kuuliza swali personal ni upumbavu? Wewe unazungumziaje conclusion ya kuabudu mababu nahuku nilichouliza recently ni hicho hapo juu.
Wewe ulishatoa conclusion acha kujifanya unakana maneno yako hapa kwani siyo wewe uliyesema eti huwezi kujadiliana na mshirikina anayeabudu mababu zake
 
Ni la kipumbavu siyo kwasababu ni general question au personal, ni la kipumbavu kwasababu halina mantiki, na nilishakueleza mara tano sababu ya kwanini halina mantiki na kwanini silijibu, nadhani IQ yako bado haitoshi kuelewa sababu niliyoitaja yapata mara tano.
 

Mwanaume anayejielewa hawezi kuoa hizo show-off. Yeye anataka mwanamke anayeelwa, mwanamke ambaye atakuwa mke na mama wa watoto pia
 
Aloo huwezi ligi ya kubishana na jaddaπŸ˜‚ jadda ana uwezo wa kubishana na redio walai 😁 Zinn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…