Binafsi mimi niliamua kuahirisha ndoa yangu na mpenzi wangu tuliedumu fours years kwenye uchumba Baada ya kufika kwao nikakuta mama na bibi, shangazi, mama wadogo wapo lakini, baba, babu, wajomba, baba wadogo asilimia kubwa walikuwa wameshatangulia mbele za haki
Miji hiyo yote zinaendeshwa na wanawake
Ilinifikirisha sana, nikaamua kufanya maamuzi magumu na mahari niliacha hukohuko nimeamua kutulia
uzuri " we men we age like wine" no Ned to hurry
Napata maswali mawili
1.je wanafariki kimazingara
2.Ni zile dawa zinazosemekana wanaume hupewa na kufa pole Pole maybe 2 to 5 years
3.Ni magonjwa yanatokana na kupiga kazi ngumu ngumu muda mrefu?
4.je ni life style tu? Mfano pimb kupita kiasi Maana wachaga kwa kuzimua ni balaa
Karibuni kwa michango