mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Syo wanawake wa kichaga wote wana shida mfano wanawake kutoka rombo wale wapambanajiKuna jirani yangu hapa aliwaambia wazazi anaoa mchaga waliwaka hatari walimwambia akimuoa watamtenga ukoo mzima. haya mambo yanashangaza sana
We muwezeshe tu uone anavyosukuma familia!
Ila wale kutoka nanii huko shida 😄
Ova