WA KISHUA OG
Senior Member
- Nov 3, 2024
- 127
- 338
Mwanawane nakuona unazengea zengea lango.. umebaki na kipaa 😅😅Nitamuacha ukinikubalia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanawane nakuona unazengea zengea lango.. umebaki na kipaa 😅😅Nitamuacha ukinikubalia
We unadhani nikiweka ndani pisi kama nandy ntaichoka..? nitakua nashinda naitinduaMweee mbisush ukishaiweka ndani haina mvuto tena mke ninkwaajili ya mapozeo tuu wakati unaendelea kuwinda huku nje
Mkiwa hamna uwezo ahh kuna kuwa kimya sasa muanze kujipata 😄Sema mademu wa kichaga mwanzo kwenye hustle mtaenda vizuri, mkisha fanikiwa .. kunaanza picha picha, na hasa kama mwanaume unaanza kazi za nje.. hapo uje upo kwenye danger zone.. ila ni wanawake wazuri kuanza nao from zero
Demu wa kichaga, mjikipata ukae nae kwa akili sana. Ulizingua kidogo tu, anapiga na wewe 😅😅 ila kama utakuwa smart vile vile kama mlivyo anza.. mbona mtazikanaMkiwa hamna uwezo ahh kuna kuwa kimya sasa muanze kujipata 😄
Ova
Brooo u r clever, i give u that but dont think everyone else is stupid.We unadhani nikiweka ndani pisi kama nandy ntaichoka..? nitakua nashinda naitindua
Kwa mkapa hatoki mtu....
Mmmhh unamjua niki minaj?Brooo u r clever, i give u that but dont think everyone else is stupid.
Wewe na mfalme sulemani nani yupo wise kulliko mwenzie? Lakini nanhekima zake zote alikjwa na mbususu sijui 300+.
Huyo nandi mzuri kwa sababu hujaigegeda mbususu yake. Ukiahamgegeda mara tatu tuu mwanamke yoyote yule ule uzuri unakwisha anakuwa wakawaida tuu
Akili za nyege hizo mkuu.. mbona Nandy wa kawaida sana, sio wa kufanya mtu asi cheatBrooo u r clever, i give u that but dont think everyone else is stupid.
Wewe na mfalme sulemani nani yupo wise kulliko mwenzie? Lakini nanhekima zake zote alikjwa na mbususu sijui 300+.
Huyo nandi mzuri kwa sababu hujaigegeda mbususu yake. Ukiahamgegeda mara tatu tuu mwanamke yoyote yule ule uzuri unakwisha anakuwa wakawaida tuu
Wanawake wanao ongoza kudai talakaHata hapa Dar es Salaam. Ukienda mahakama ya Temeke.. watu wanaachana hatari yani
Ndoa sasa hivi zina matatizo. Haya mambo hatukuwa tunayaona kwa wazee wetu.. Sasa hivi jamaa na maadili yame mong'onyoka sana . Ndio maana ndoa zenyewe zimekosa thamani. Ukiangalia sababu za siku hizi za kuvunja ndoa ni upuuzi mtupu.. hazina uzito ila kwakua mtu kamchoka mtu ndio imeisha hiyoBora wazivunje tu kama zimefikia a point of no return, kuliko kutoana roho.
Ndio namshangaa huyu jamaa.Akili za nyege hizo mkuu.. mbona Nandy wa kawaida sana, sio wa kufanya mtu asi cheat
Duniani kote wanawake wanaishi maisha marefu kuliko wanaume ila ujinga ni tatizo kubwa sana kwa jamii ya kiafrikaKuna miaka fulani nlikuwa pande hizo kuna mtaa huo kuna nyumba kama 8,9 wamebakiwa wajane tu 😄
Ova
Mtu ukiwa na nyege, unawaza tofauti sana. Nyege zikiisha ndio unashitukaaa na kujua ukweli wa mambo unavyo enda.. ndio maana hata kuna wanakati unalala na demu kituko kweli, uki pizi ndio unaona ulivyo punguani waheeed 😅😅Ndio namshangaa huyu jamaa.
Hamna mwanamke duniani ana uzuri wakumfanya mwanaume asicheat.
Wanawake wote ukiahagegeda mara tatu tayari alishakuwa wa kawaida tuu
Jamaa umeongea kwa hisia sana. Pole sana for the dvorceNdoa sasa hivi zina matatizo. Haya mambo hatukuwa tunayaona kwa wazee wetu.. Sasa hivi jamaa na maadili yame mong'onyoka sana . Ndio maana ndoa zenyewe zimekosa thamani. Ukiangalia sababu za siku hizi za kuvunja ndoa ni upuuzi mtupu.. hazina uzito ila kwakua mtu kamchoka mtu ndio imeisha hiyo
Alafu kuna faza flan jukwaa la siasa alikua anakutafutaKwa mkapa hatoki mtu....
Nje ya ndoa kuna raha sana. Watamalizana kwa lipi??Watu walio nje ya ndoa wanamalizana,
Huoni watu wanatekana ? Hujasikia girlfriend na boyfriend wamepasuana ? Maisha ya dunia hii ni ya taadhari sana. Unaecheka nae anaweza kubarika Hadi ukachanganyikiwaNje ya ndoa kuna raha sana. Watamalizana kwa lipi??