Wanawake wanaoomba pesa kwenye mapenzi sasa hivi ndio wanaitwa TAMISEMI?

Watu wanagawa utam mama, binafsi nahisi hali ni mbaya sana going forward.
Ninachofurahi tu, huduma inapatikana kwa vipande kadhaa vya fedha, wanaoitaji kujiingiza mazima ni vile wametaka tu!!
Dahh kwa style hii tutadhalilika mno!
 
Wewe kama feminist wa kiume, unalizungumziaje hili suala la mtoto wa kike na wa kiume kupewa fursa sawa kwenye kila kitu halafu wakija mtaani mtoto wa kike awe mzigo kwa mtoto wa kiume? Je haki sawa ina tija kwenye jamii yetu?
Nafikiri unamaanisha fursa sawa, Hata hivyo hakuna haki sawa hata kati ya wanaume wenyewe, mfano watoto wa wa kiume wa watawala na watu wenye connection wana haki na fursa zaidi kuliko watoto wa kiume wa raia wa kawaida tu.

Mimi naamini kwenye merits, mtu yeyote awe mwanaume au mwanamke apewe kazi kulingana na uwezo wake wa kuifanya hiyo kazi bila kujali jinsia yake, dini au kabila.
 
Tatizo wanageuza mapenzi kuwa biashara, ila ukweli usiofichika wanawake ndo wanaoongoza kusambaza mikosi kwenye utafutaji.
Ila mimi huwa nakaa chini na kufikiria

Hivi mimi pamoja na kuwa mwanamme napata shida kupata hela Kwa binti ambaye hana kazi je?

Muda mwingine tuwaonee huruma ni umaskini tu

Kumbuka mwanamke matumizi ni mengi

1.Lotion ya ngozi anukie vizuri
2. Set za nguo za ndani , mwanamme waweza kuwa na boxa mbili maisha yakaenda
3. Deodorant , mwanamke akinuka kikwapa hapana ila kwa mwanamme hata ukinuka kama beberu poa
4. Kuna issue za period kila mwezi

Kwa ufupi wana mambo mengi
 
Ushaona status ya mwanamke mtu mzima imeandikwa.

SI AJITOKEZE MTU ANIULIZE NINATAKA NINI, NIMTAJIE SHIDA ZANGU ZOTE.
Mwingine nimetoka kufuta namba yake na kumpiga pini kabisa jioni hii.

Ka-upload status "NANI ANIKOPESHE LAKI TANO, NISIPOMLIPA NAMPA 🍑 then akaweka neno (jokes) , nikajua huyu yupo serious, hakuna jokes hapo.

Sitaki cycle yangu kuingia mdudu aisee.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…