Wanawake wanaoomba pesa kwenye mapenzi sasa hivi ndio wanaitwa TAMISEMI?

Siongelei kesi moja moja naongelea suala zima kwa ujumla wake. Haki sawa inaenda sambamba na wajibu sawa. Mwanamke kupewa haki sawa na bado kutaka lifetime provision kutoka kwa mwanaume, je haki sawa ina tija kwenye jamii yetu?
Ndiyo, haki sawa ina tija kubwa sana, wapo wanawake wanaohudumia familia zao.

Lakini unafikiri kwenye kampuni/ biashara binafsi huwa wanajali haki au mtu atakayewaongezea mapato zaidi wanapoajiri ?

Serikalini pia watu wanataka kuhudumiwa na watu competent wenye uwezo, hakuna mtu anayetaka ahudimiwe na mtumishi mwanaume kilaza au slow kisa mshahara wake anahudumia familia, hakuna anayejali hilo.

Ukifika hospitali utataka uhudumiwe na daktari bora zaidi bila kujali jinsia yake au mshahara wake anapeleka wapi anakojua mwenyewe.
 
Kwani akijapaka Vaseline tatizo liko wapi?

Kama hana pesa za kusuka au wigi akinyoa tatizo liko wapi?

Deodorant ni anasa tu za wanawake wa mjini wala wasisingizie kunuka kikwapa.
 
Kwaiyo tuendelee kuchukulia kawaida suala la wanawake kuwa ombaomba wakati wamepewa haki sawa na mwanaume?
 
Na kinachofurahisha na kusikitisha kwa pamoja, usipompa hiyo hela anakuona masikini lakini yeye ambae hawezi kumudu mahitaji yake mwenyewe hajioni kama ana shida yoyote
Kweli aisee na anakublock kabisa Kuna mmoja tumetoka kufanya yetu nikasema nimpe nauli nikampa elfu 20 nashangaa ananiambia hela ni ndogo nimuongezee eti uzuri wake haufanani na hiyo hela kama vile nimemnunua hivi na anashindwa kujua nimefanya kama gentleman na hapo mpaka kwake sio mbali basi nikamwambia anipe hiyo hela ninunue umeme alafu nitamtumia kwenye simu Zaidi ya hiyo akanipa aliponipa tu nikamwambia asepe simpi tena hela si akaanza kunililia nimpe tena mwamba nimkazia then nikampa elfu 5 nimkomeshe jeuri yake hiyo hiyo elfu 5 akaipokea yaani hawa manzi wanapenda sana kuishi fake life
 
Na kinachofurahisha na kusikitisha kwa pamoja, usipompa hiyo hela anakuona masikini lakini yeye ambae hawezi kumudu mahitaji yake mwenyewe hajioni kama ana shida yoyote
Asili ya mwanamke kupenda kubebishwa inachangia kiasi fulani. Ila sometimes mimi huwa siwalaumu. Jamii, including sisi wanaume, imechangia sana kumfanya mwanamke wa kibongo kuwa na hii mindset. Tunaanzaga kuhonga wenyewe ktk harakati za kujitutumua, wakiendeleza tunaanza waita majina mabaya. Halafu mabinti wengi unakuta tangu akiwa kwao ni mtu wa kupewa pewa tu. Na wanakua wakishudia peers na role models wao wakiwemo mama zao wakifanyiwa hayohayo.
 
Wamwaga hela ni wachache sana, sio kwamba wanakutana nao kila siku. Wengi wao wanatongozwa katika mazingira ya kawaida kabisa. Mambo ambayo wanakua na expectation ya kufanyiwa unakuta hawajawahi hata kuyapata maishani.

Hizi unrealistic expectations labda tu zinatokana na tamthilia wanazoangalia au mastaa na content creators wanaofuatilia uko mitandaoni. Wakiona harmonize kampa kajala gari basi wanafikiri mtaani kuna vijana wengi sana wenye uwezo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…