Wanawake wanaotoka Nyanda za Juu Kusini (Mbeya, Njombe & Iringa regions)

So ni kweli pia kwamba nyie wenzetu wa pande hizo hampitwi na sketi,ni bora nikupe pesa zangu utamfikisha na sio mwanamke wangu?na ndio maana hata wewe kwa thread hii umelithibitisha hilo kiasi kwamba ukashindwa kukaa hiv hiv tu mpaka ufanye utafiti kama huo mkuu kiwatengu? Meaning maisha yako asilimia kubwa ili yawe na furaha au uone yako complete lazima wanawake wakuhusu sana si ndio?

Niambie wewe ni handsome?kuna mtu hata mmoja ukiyewahi kumuumba?ukoo wenu wooote ni wazuri?mama yako dada zako mashangazi mama wadogo wadogo zako wa kike mama zako wakubwa wooooteee ni wazuri?? Naomba unijibu maswali haya honestly kabisa
 
Last edited by a moderator:
duh!
We Lara...Mpaka Kyela Unadetails Nako?
we Tishaa!

Mi huyu mtu ananishangaza kuliko navoshangaaa kawaida yani anajua mambo meeeeeeengi mnooooooooo! Yakihuni anajua yakishua anajua ya mtaani sasa duuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkofwike pantu ulwa ibhwe lya mmisi...!!

Muli bhanganjifu ulwa imbwa iji jikana kumyabho...!!

Muli bhalangani ulwa ngwitwa...!!

Tafakari...!!
 
To somme extent yes....yaani asilimia kubwa ya mademu wa huko ni majeruhi, ukiona wa afadhali basi mmoja kati ya wazazi wake ni mtu wa mkoa mwingine.
 
To somme extent yes....yaani asilimia kubwa ya mademu wa huko ni majeruhi, ukiona wa afadhali basi mmoja kati ya wazazi wake ni mtu wa mkoa mwingine.

Mkuu mbona wa kwangu Yupo sawa kuanzia sura, umbo, mwendo na huko kitandani ndiko anajua sana.. Lakini asilimia 89 ni kweli wanasura na maumbo kama makabati
 
Mkuu mbona wa kwangu Yupo sawa kuanzia sura, umbo, mwendo na huko kitandani ndiko anajua sana.. Lakini asilimia 89 ni kweli wanasura na maumbo kama makabati

Huyo wa kwako, wazazi wake wote wanatoka Mbeya?
 
So ni kweli pia kwamba nyie wenzetu wa pande hizo hampitwi na sketi,ni bora nikupe pesa zangu utamfikisha na sio mwanamke wangu?
Hapa nadhani unawazungumzia Wangoni kwa kiasi kikubwa, mimi sio mngoni! mi ni Mmakonde wa Tandahimba Likolombe huko...Hatuna utamaduni huo.
na ndio maana hata wewe kwa thread hii umelithibitisha hilo kiasi kwamba ukashindwa kukaa hiv hiv tu mpaka ufanye utafiti kama huo mkuu kiwatengu?
Siku fika Iringa, Mbeya na Njombe kwa ajili ya kulifanyia hili utafiti nilifika kwa mambo mengine tu, ila katika kumbukumbu yangu hili likaja. Kisura na Kimaumbo ni kweli, hawako vizuri sana.

Meaning maisha yako asilimia kubwa ili yawe na furaha au uone yako complete lazima wanawake wakuhusu sana si ndio?
Wanawake wanapart kubwa katika maisha ya Mwanaume yoyote yule. To some extent maisha bila mwanamke hayajakamilika.

Niambie wewe ni handsome?kuna mtu hata mmoja ukiyewahi kumuumba?ukoo wenu wooote ni wazuri?mama yako dada zako mashangazi mama wadogo wadogo zako wa kike mama zako wakubwa wooooteee ni wazuri?? Naomba unijibu maswali haya honestly kabisa
Mkuu mbona kama umepaniki flani hivi? kwani kuwa mbaya ni dhambi? Mbona hao wabaya bado wameolewa na wanawatoto wao. What wrong mi kuandika kuhusu wadada wa nyanda za juu kusini? Kwa hiyo ningepaswa kuandika kama kwetu hamna mbaya hata mmoja? Sura na mwili ni tofauti kabisa na tabia, hii ndiyo inagusa maisha zaidi....
 
Last edited by a moderator:

Zero kabisa wewe ushawahi pika maharage yanayolimwa Mbeya na sehemu nyingine utaelewa maana yake ila sio hiyo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…