Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,667
Yes! umefanya mistake moja mkuu Blue G.
1. Nimemaliza Chuo kama miaka saba hivi iliyopita.
Na nikwambie tu nilichoandika ni kweli kabisa.
Wakati naweka bandiko hili nilikuwa sijawahi kufika maeneo tajwa hapo juu, sasa nimeshafika zaidi ya mara 3. Kama ningekuwa na uwezo huu uzi usingekuwa TETESI tena kwani kuna ukweli kwenye hili.
So ni kweli pia kwamba nyie wenzetu wa pande hizo hampitwi na sketi,ni bora nikupe pesa zangu utamfikisha na sio mwanamke wangu?na ndio maana hata wewe kwa thread hii umelithibitisha hilo kiasi kwamba ukashindwa kukaa hiv hiv tu mpaka ufanye utafiti kama huo mkuu kiwatengu? Meaning maisha yako asilimia kubwa ili yawe na furaha au uone yako complete lazima wanawake wakuhusu sana si ndio?
Niambie wewe ni handsome?kuna mtu hata mmoja ukiyewahi kumuumba?ukoo wenu wooote ni wazuri?mama yako dada zako mashangazi mama wadogo wadogo zako wa kike mama zako wakubwa wooooteee ni wazuri?? Naomba unijibu maswali haya honestly kabisa
Last edited by a moderator: