Wanawake wanaovaa shanga kiunoni nawaona sawa na wavaa hirizi

Zinaongeza ladha ya mapenzi. Naona kama hujui kuzichezea shanga viunoni mwao. Sawa, asilimia kubwa ni wa dini ile hasa wa uswahilini, hata wa dini ile nyingine wapo pia wanaovaa hujakutana nao uone. Ila shanga viononi mwao lengo kubwa ni kunogesha mapenzi
 
Tamaduni zingine zinaruhusu hilo, no problem
 
Unataka mwanamke mwenye kiuno tupu Kama mwanaume!!.. biashara ya shanga ilimea Sana Karne ya 19,pakiwa na biashara ya masafa marefu,utakua mjita tu,mshamba na madem zenu weusi Kama vyungu,sisi pwani unakuta mtoto mweupe na shanga zake nyeupe na dhahabu kiunoni,tunapewa task ya kuzihesabu kwa dhakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…