Wanawake wanaovaa shanga kiunoni nawaona sawa na wavaa hirizi

Haya ndy madhara ya kutahiriwa hospital,,
 

Dini inahusiana nini na kuvaa shanga?
 
Picha plz
 

Punguza ushamba mkuu na ujinga mwing suala la dini na shanga wapi na wapi
 
Twende turudi, utaziona za ajabu kama hujawahi kukutana nazo au hujui kuzitumia.
Mimi mwenyewe nkipewa nyapu mbili nichague, ntachagua mwenye ako na shanga..
Kama kuna kabinti hivi ka morogoro... duh... aishi maisha marefu.
 
We jamaa bana,yani Unajipa stress Kwa mambo ambayo hayakuhusu?hivi unataka kitu ukikipenda wewe basi dunia nzima ikipende na ukichukia kitu iwe hivyo hivyo?una uhakika vitu vyote unavyopenda wewe na dunia nzima inapenda?wapo wanaopenda shanga
 
Ugonjwa wangu huu shanga, cheni plus bracelets kitu sikipendi kwa mwanamke ni wigs yaani mimi sivutiwi na wigs na misuko ya ajabu ajabu...
Lingine sipendi harufu mbaya kwa KE shombo sifagilii.
 
Salary Slip sema ulikutana na demu analala ka gogo. Muulize Depal akwambie raha yake ukikutana na anayejua kukizungusha halafu ziwe 6 mpaka 12 hivi utasikia sauti kama KAYAMBA ya kwaya za kikatoliki wallah

Au nasema uwongo ndugu yangu Cute Wife Evelyn Salt .

Achana na washamba kama Mr the dragon aliyedinya fisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanza msukuma na shanga wapi na wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…