Aiseee πSalary Slip sema ulikutana na demu analala ka gogo. Muulize Depal akwambie raha yake ukikutana na anayejua kukizungusha halafu ziwe 6 mpaka 12 hivi utasikia sauti kama KAYAMBA ya kwaya za kikatoliki wallah
Au nasema uwongo ndugu yangu Cute Wife Evelyn Salt .
Achana na washamba kama Mr the dragon aliyedinya fisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanza msukuma na shanga wapi na wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana kamba mguuni huyo achana naye bro ππππSalary Slip sema ulikutana na demu analala ka gogo. Muulize Depal akwambie raha yake ukikutana na anayejua kukizungusha halafu ziwe 6 mpaka 12 hivi utasikia sauti kama KAYAMBA ya kwaya za kikatoliki wallah
Au nasema uwongo ndugu yangu Cute Wife Evelyn Salt .
Achana na washamba kama Mr the dragon aliyedinya fisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanza msukuma na shanga wapi na wapi.
Sent using Jamii Forums mobile app
ebu shusha darasa.. nikionaga shanga au kusoma shanga nadinda hapo hapo ugonjwa wangu huo π πKuna shanga na shanga...
kama hawa wa Dar es Salaam nyingi za waganga.. jichanganye uonge kila kityHuenda wengine wameambiwa na waganga.
ππ acha mawazo mabaya basi.. kikuku kinaongeza nguvu za kiumeniAna kamba mguuni huyo achana naye bro ππππ
Wewe ndo hujanielewa!! Nimemaanisha kamba mguuni ni mshamba ππππππ acha mawazo mabaya basi.. kikuku kinaongeza nguvu za kiumeni
π π π anafaidi sana mwaisaWewe ndo hujanielewa!! Nimemaanisha kamba mguuni ni mshamba ππππ
Mimi kikuku mpk kibata vyote namvalia Kantri π€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈ
Sanaβa ππ π π anafaidi sana mwaisa
Tupe somoKuna shanga na shanga...
Shanga Haina tofaut na hirizi.
Hata waganga badala ya hirizi wanaitambikia shanga unavaa kwa nje ni urembo kwa ndani Ina maana yake
anialike siku moja tukuchangie tupige MMF na mie nifaidiππππSanaβa π
Utani unaotamani uwe kweli πππanialike siku moja tukuchangie tupige MMF na mie nifaidiππππ
jokeπ
kweli yani ila ndio utani sasa π πUtani unaotamani uwe kweli πππ
Pole sanakweli yani ila ndio utani sasa π π
Vipi na wanawake wanaovaa cheni kiunoni unawaonaje?Binafsi licha ya kutopenda uvaaji wa shangaa kiuononi kwa wanawwke, tabia hii kwangu naiona ni sawa na kuvaa hirizi tu.
Nikikutana na mwanamke anaemia shanga kiuononi, basi siku hiyo ndio inalkuwa ya mwisho kati ya mimi na yeye.
Na wanaovaa haya mashangaa asilimia kubwa ni wa dini fulani na zaidi ni wale wa uswahilini ingawa wako wengine wanaishi uzunguni na maushangaa ya viuononi.
Ujinga kabisa huu.
Weka pichaNa sisi tunaovaa cheni je?
Hajakutana na shanga la Mtwara mixer na Tanga uziguaniShanga kwa mwanamke ni lazima sio ombi!