Wanawake wanapenda kuabudiwa

Swali kwa nini wewe ukubali kuolewa na mwanaume usiye mpenda ? Kwani anapokua king'ang'anizi anakuteka bila wewe kujijua?
Kosa la nani sasa hapo Jamani? Mimi nahusikaje na mtu aliyenioa wakati anajua kabisa simpendi 😅😜 mwache aniabudu Jamani.

Tena wa hivi wanacare mfano hakuna kuliko tunaowapenda.

Waacheni kabisa wanajua wanachokifanya.
 
Mungu ndo aliandika ktk kitabu cha mwanzo sura ya tatu au nne kuwa mwanaume atamtawala mwanamke.
 
NAKAZIA, Hakuna kiumbe kinachopitia Mateso kama Mwanaume alieamua kuabudu Mwanamke, ni nafuu ya ahela.
Ukianza kuabudu mwanamke jua umekaribia kufa, mwanaume halisi hubabaishwi na K ambazo zimejaa kila Kona ya mtaa, usimnyenyekee mwanamke
 
Wanawake wapo wa kila aina.

Tafuta unayeendana naye.
 
Mwanaume hajaumbwa kwa ajili ya mwanamke bali Mwanamke kwa ajili ya mwanaume. thats a nature of creation kwenda kinyume nayo ndio mtakuja hapa kila siku mnalialia kama wendawazimu.
 
Naomba Utusaidie Hizo sababu "zisizo na Kichwa wala Miguu" Tuzione Labda ni kweli uyasemayo.


Pia Utuambie Kwa kule Mke kuwa Chini ya Mume na Mume Ndio Kuwa Mwenye Sauti katika familia Kulisababisha Mateso gani kwa mwanamke ndani Familia za Mfumo huo.??
 
EARTH IS HARD
Kama wanawake wenyewe ni dizaini ya Jadda hao ni WA kupiga na kusepa,ni mafeministi hao
 
"Jambo la kusikitisha ni kwamba hata ikatokea Mwanaume akawa mwema kiasi hiko wanachotaka bado watamuona fala na malipo yake ni Dharau na cheating na Kejeli za hapa na pale"
Ishi nao kwa akili tu.
 
Kama kweli uko na msimamo huo na unaishi nao basi nakupa salute,ila kama unatutia tu ujasiri sisi halafu wewe ni muabudu wanawake basi nauamuru moto wa jehanamu ukufuate huko uliko na ukulambe
 
Hilo lisingle mother halina akili utapoteza muda bure, lishaharibikiwa linataka na mabinti wengine waliopo humu nao wazalishwe na kuachwa kama yeye ili walioharibikiwa wawe wengi, kwamba Msiba wa wengi ni sherehe.
 
Hilo lisingle mother halina akili utapoteza muda bure, lishaharibikiwa linataka na mabinti wengine waliopo humu nao wazalishwe na kuachwa kama yeye ili walioharibikiwa wawe wengi, kwamba Msiba wa wengi ni sherehe.
Huwa anasema tuna Mu-attack yeye badala ya kujenga Hoja.
Lakini yeye utamsika mara Wanaume wa Jf nimewazarau mara sijui Ni Vivulana na wala sisi hatujawahi kusema Jadda anatu-attack badala ya kujenga Hoja.


Sasa nataka aje Tujenge Hoja. Namjua Huwa Ukishambana kwenye Hoja anakimbilia kwa Few Cases za wanaume ana generalize Wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…