Wanawake wanapenda ma handsome

Exactly,,Wanaopinga ujue wana sura private/personal.
We bwana mdogo nilishakwambia umebarikiwa UKILAZA WA ASILI. Huyu bidada amekwambia wasichana wanapenda mahendsome!! Ulitakiwa ujiongeze kuwa ameandika kwa kejeli akimaanisha kuna tofauti kati ya msichana na mwanamke!! Loohh! Ujinga ni kipaji alisema mwalimu Nyerere!! Hasa ujinga wa kurithi toka kwa wazazi!! Cc FaizaFoxy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀😀😀😀wasiopenda hela wote mikono juu maana mie napenda balaa naweza hata fia ndani ya wallet
Sasa usipopenda pesa utapenda nini[emoji134]
 
Hawa wadada wanawapa moyo tu ukiwa handsome nan atakukataa

Yaan uhandsome n kila kitu sasa ndugu yangu yu mfupi na sio handsome

Ni kutafuta mapesa na mahela kwa ujumla bila hivyo hutoboi mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhendsome wa mwanaume ni pesa, waangalie watu wenye pesa na namna wanvyooa wasichana wazuri, warembo utazani hawaendi haja kubwa. We katengeneze/kachonge sura kama Michael Jackson kama huna pesa wasahau warembo utawala kwa ndoto.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye sura mbaya tuna taabu sana..Yaaan upo kwenye daladala akiingia mtoto akikuangalia tu ni KOSA..haji kabisa kukataa na wewe kwenye hiyo seat Hata kama iko free..

#Muungwana_John
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…