Marxists points of view which is African philosophy!Mbowe:
1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani
2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa
3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele
4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti
5. Ongeza Erythrocyte
Akaondoka Tundu?Chadema haiwezi kufa kwa mgogoro mmoja tu mtu na chama ,waliondoka Dr Slaa /Mashinji na watu konki lakini chama bado imara ,ameondoka Tapeli Mchungaji Feki Msigwa kanda ya nyasa bado imara.
Chama ni taasisi na siyo mtu ,yeyote atakayeondoka chama kitabaki imara.Akaondoka Tundu?
Nyuzi za kuitabiria mabaya CHADEMA na ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana.. In fact kuna hela ndefu zilimwagwa kwa ajili ya hii project.. 😂Mbowe:
1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani
2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa
3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele
4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti
5. Ongeza Erythrocyte
Kwa hio na Tundu akatoka?Chama ni taasisi na siyo mtu ,yeyote atakayeondoka chama kitabaki imara.
Nani kasema ameondoka!!!Akaondoka Tundu?
Unafanisha chadema ya slaa na huu upuuzi wa chadema ya leo?Chadema haiwezi kufa kwa mgogoro mmoja tu mtu na chama ,waliondoka Dr Slaa /Mashinji na watu konki lakini chama bado imara ,ameondoka Tapeli Mchungaji Feki Msigwa kanda ya nyasa bado imara.
Marxists points of view which is African philosophy!
sasa kimewashuka kisawasawa, zilimiminika nyuzi kama mvua za masika . Wakaona sasa it is done Chadema is gone and gone forever!Nyuzi za kuitabiria mabaya CHADEMA na ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana.. In fact kuna hela ndefu zilimwagwa kwa ajili ya hii project.. 😂
Chadema itasimama tu na Lisu hawezi kuondokaAkaondoka Tundu?
Hapa CCM inahusika vipiCCM aibu yao
Kuna upande wakisikia Habari hizi watanunaMbowe:
1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani
2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa
3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele
4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti
5. Mahakama zinatuangusha
5. Ongeza Erythrocyte
Ukiondoa kesi ya Justice of appeal Mugasha ya uchaguzi bado court of appeal kuna ka haki kanatendeka... just read the judgments
Ok atwist situation na kuharmonise mambo then ajiuzuluKomredi Mbowe ni mkomavu sana ktk siasa, ni wachache sana wa aina yake.
Bravo kamanda Mbowe.
YOTE NI MEMA, LAKINI NGOJA TUPATE KATIBA MPYA AMBAYO RAIS HATAKUWA NA MAMLAKA YA KUCHOTA PESA KUWAPA WASANII, KUHONGA/KUNUNUA WAPINZANI, KUCHEZEA ANAVYOTAKA KAMA ANYOFANYA MAMA YETU SAMIAOk atwist situation na kuharmonise mambo then ajiuzulu
Kujiuzulu ni Heshima, Nakumbuka 1985; Nyerere alipotangaza kujiuzulu wengi walihofu na kuogoba mabadiliko
Mbowe ajiuzulu huu ndo muda muafaka
kelel zote za sasa chadema imekwisha ilikuwa inatoka CCM, wanahusika sanaHapa CCM inahusika vipi