Wanawake wanasema Kimewashuka: Threads za Lissu aanzishe chama, wamefarakana, Lema sijui na Kigaila kawaje zimeisha jana baada ya Hotuba ya Mbowe

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Mbowe:

1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani
2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa
3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele
4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti
5. Mahakama zinatuangusha
5. Ongeza Erythrocyte

Ukiondoa kesi ya Justice of appeal Mugasha ya uchaguzi bado court of appeal kuna ka haki kanatendeka... just read the judgments
 
Nyuzi za kuitabiria mabaya CHADEMA na ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana.. In fact kuna hela ndefu zilimwagwa kwa ajili ya hii project.. 😂
 
Chadema haiwezi kufa kwa mgogoro mmoja tu mtu na chama ,waliondoka Dr Slaa /Mashinji na watu konki lakini chama bado imara ,ameondoka Tapeli Mchungaji Feki Msigwa kanda ya nyasa bado imara.
Unafanisha chadema ya slaa na huu upuuzi wa chadema ya leo?
 
Marxists points of view which is African philosophy!
1732078223403.png
 
Nyuzi za kuitabiria mabaya CHADEMA na ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana.. In fact kuna hela ndefu zilimwagwa kwa ajili ya hii project.. 😂
sasa kimewashuka kisawasawa, zilimiminika nyuzi kama mvua za masika . Wakaona sasa it is done Chadema is gone and gone forever!
 
Mbowe:

1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani
2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa
3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele
4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti
5. Mahakama zinatuangusha
5. Ongeza Erythrocyte

Ukiondoa kesi ya Justice of appeal Mugasha ya uchaguzi bado court of appeal kuna ka haki kanatendeka... just read the judgments
Kuna upande wakisikia Habari hizi watanuna
Wako kama fisi wananyatia binadamu kwa nyuma wanasubiri kuona mkono ukianguka waunyakue bila mafanikio

Niliwaeleza kuwa minyukano na mifarakano inaweza kuzaa jambo jipya la manufaa kwa nchi

Tusikariribsionkilanminyukana inapelekea kuvunjika na kusambatatika kama upande ule unavyotabiria itokee
 
Komredi Mbowe ni mkomavu sana ktk siasa, ni wachache sana wa aina yake.
Bravo kamanda Mbowe.
Ok atwist situation na kuharmonise mambo then ajiuzulu

Kujiuzulu ni Heshima, Nakumbuka 1985; Nyerere alipotangaza kujiuzulu wengi walihofu na kuogoba mabadiliko

Mbowe ajiuzulu huu ndo muda muafaka
 
YOTE NI MEMA, LAKINI NGOJA TUPATE KATIBA MPYA AMBAYO RAIS HATAKUWA NA MAMLAKA YA KUCHOTA PESA KUWAPA WASANII, KUHONGA/KUNUNUA WAPINZANI, KUCHEZEA ANAVYOTAKA KAMA ANYOFANYA MAMA YETU SAMIA
 
Back
Top Bottom