Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kuna siku watu watakuja kumjua mlamba asali kuwa ndio adui namba mbili wa nchi hii baada ya sisiemu.Mbowe:
1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani
2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa
3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele
4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti
5. Mahakama zinatuangusha
5. Ongeza Erythrocyte
Ukiondoa kesi ya Justice of appeal Mugasha ya uchaguzi bado court of appeal kuna ka haki kanatendeka... just read the judgments

Tundu Lissu leo yuko hapa Mwanza anazindua kampeni akiwa na Mwenyekiti wa Bavicha Mwalimu John Pambalu na Mwenyekiti wa Kanda ya Victoria Ezekiel Wenje, tabu iko pale pale.Kwa hio na Tundu akatoka?
Mbowe amesema kweli, lazima kuwe na uhuru wa kuongea katika Chama, pia kukubaliana kutokubaliana katika hoja na kusonga mbele.Mbowe:
1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani
2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa
3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele
4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti
5. Mahakama zinatuangusha
5. Ongeza Erythrocyte
Ukiondoa kesi ya Justice of appeal Mugasha ya uchaguzi bado court of appeal kuna ka haki kanatendeka... just read the judgments
Kama huwezi kujilinda mwenye na kudhibiti mitandao unayoitumia katiba haina maana mfano whatsap wakiamua kuzima ama hata hii jf ikizimwa tutarudi kwenye ujima, tuseme, wakizima internet tena huwa wanapenda kuzima kipindi cha uchaguzi mkuuYOTE NI MEMA, LAKINI NGOJA TUPATE KATIBA MPYA AMBAYO RAIS HATAKUWA NA MAMLAKA YA KUCHOTA PESA KUWAPA WASANII, KUHONGA/KUNUNUA WAPINZANI, KUCHEZEA ANAVYOTAKA KAMA ANYOFANYA MAMA YETU SAMIA
CHADEMA haifi leo wala keshosasa kimewashuka kisawasawa, zilimiminika nyuzi kama mvua za masika . Wakaona sasa it is done Chadema is gone and gone forever!
Huo ni wivu tu dhidi yake,mbowe ndo kiongozi anayetakiwa haswaa,mi nashangaa mpinzani wako kukupa machaguo!,adui yako akikusifia jiangalie mara nyingi zaidi wapi umekosea?Ok atwist situation na kuharmonise mambo then ajiuzulu
Kujiuzulu ni Heshima, Nakumbuka 1985; Nyerere alipotangaza kujiuzulu wengi walihofu na kuogoba mabadiliko
Mbowe ajiuzulu huu ndo muda muafaka
Peter Msigwa kalala na viatu jana.Mbowe:
1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani
2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa
3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele
4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti
5. Mahakama zinatuangusha
5. Ongeza Erythrocyte
Ukiondoa kesi ya Justice of appeal Mugasha ya uchaguzi bado court of appeal kuna ka haki kanatendeka... just read the judgments
Unafanisha chadema ya slaa na huu upuuzi wa chadema ya leo?
Slaa hakuwahi kufanya kazi mazingira magumu kama Lissu aliyebaki kupambana Magufuli peke yake;Unafanisha chadema ya slaa na huu upuuzi wa chadema ya leo?
Mzalendo namba 1 TanzaniaTundu Lissu leo yuko hapa Mwanza anazindua kampeni akiwa na Mwenyekiti wa Bavicha Mwalimu John Pambalu na Mwenyekiti wa Kanda ya Victoria Ezekiel Wenje, tabu iko pale pale.
Paulo Makonda aliwahi kutuonya juu ya kuzitegemea mahakama zetu kupata haki, analijua hilo.Mbowe:
1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani
2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa
3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele
4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti
5. Mahakama zinatuangusha
5. Ongeza Erythrocyte
Ukiondoa kesi ya Justice of appeal Mugasha ya uchaguzi bado court of appeal kuna ka haki kanatendeka... just read the judgments
Utapeli wote unaanza na CCMHapa CCM inahusika vipi
Chawa walicheza rhumba haswa. Wanaangalia hata mtu akipiga chafya wanakuja kupost. Wengine wanasema kwann hawakwenda eneo la tukio kuombea waathirika na badala yake waliwaombea wakiwa kwenye kikao.Nyuzi za kuitabiria mabaya CHADEMA na ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana.. In fact kuna hela ndefu zilimwagwa kwa ajili ya hii project.. 😂
Chairman aache hadaa na uongo kwa wanachadema bana,Mbowe:
1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani
2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa
3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele
4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti
5. Mahakama zinatuangusha
5. Ongeza Erythrocyte
Ukiondoa kesi ya Justice of appeal Mugasha ya uchaguzi bado court of appeal kuna ka haki kanatendeka... just read the judgments
Kwani Msaliti Lissu anasemaje? Na ni kwa nini Lissu na Lema hawakuhudhuria mkutano wa Mwenyekiti wa Maisha Mbowe?Mbowe:
1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani
2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa
3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele
4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti
5. Mahakama zinatuangusha
5. Ongeza Erythrocyte
Ukiondoa kesi ya Justice of appeal Mugasha ya uchaguzi bado court of appeal kuna ka haki kanatendeka... just read the judgments
Pia haichukui uongozi wa nchi ya TZ labda baada ya mwaka 3000.CHADEMA haifi leo wala kesho
NaamMbowe:
1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani
2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa
3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele
4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti
5. Mahakama zinatuangusha
5. Ongeza Erythrocyte
Ukiondoa kesi ya Justice of appeal Mugasha ya uchaguzi bado court of appeal kuna ka haki kanatendeka... just read the judgments
Nawafahamu hata WaliolipwaNyuzi za kuitabiria mabaya CHADEMA na ramli chonganishi zilikuwa nyingi sana.. In fact kuna hela ndefu zilimwagwa kwa ajili ya hii project.. 😂