Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kuna siku watu watakuja kumjua mlamba asali kuwa ndio adui namba mbili wa nchi hii baada ya sisiemu.Mbowe:
1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani
2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa
3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele
4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti
5. Mahakama zinatuangusha
5. Ongeza Erythrocyte
Ukiondoa kesi ya Justice of appeal Mugasha ya uchaguzi bado court of appeal kuna ka haki kanatendeka... just read the judgments