Tuhuma za lisu zinajibiwa lini?Mbowe:
1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani
2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa
3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele
4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti
5. Mahakama zinatuangusha
5. Ongeza Erythrocyte
Ukiondoa kesi ya Justice of appeal Mugasha ya uchaguzi bado court of appeal kuna ka haki kanatendeka... just read the judgments
CHADEMA haifi leo wala kesho
CCM ndiyo imekufa kama chama cha siasa, kwa sasa CCM ni genge la kigaidi linalotawala kwa mabavu ya vyombo vya dola tu kwani haina ushawishi tena kwa wapiga kura ndiyo maana imewaengua wagombea wa upinzani baada ya kujiridhisha kuwa haina uwezo wa kushindana nao kwa hoja na sera.Ishakufa mkuu limebaki kuwa genge la masela wa kaskazini na sio chama tena
Tatizo mlikosa wagombea mkawa mnaokoteza wahuni ndo maana wengi wametolewa kisa kwenye daftari la wapiga kura hawajajiandikisha ila wanagombea .CCM ndiyo imekufa kama chama cha siasa, kwa sasa CCM ni genge la kigaidi linalotawala kwa mabavu ya vyombo vya dola tu kwani haina ushawishi tena kwa wapiga kura ndiyo maana imewaengua wagombea wa upinzani baada ya kujiridhisha kuwa haina uwezo wa kushindana nao kwa hoja na sera.
Tatizo la wapinzani ni hii kuchukua pesa nyuma ya pazia. Kweli tunataka mabadiliko lakini kuna mambo wanafanya nyuma ya pazia. Viongozi wakubwa wa chadema wanaenda na mtu wa ccm nyumbani kwa lissu wakiwa na mabegi ya pesa kumshawishi awe vuguvugu inashangaza.CCM ndiyo imekufa kama chama cha siasa, kwa sasa CCM ni genge la kigaidi linalotawala kwa mabavu ya vyombo vya dola tu kwani haina ushawishi tena kwa wapiga kura ndiyo maana imewaengua wagombea wa upinzani baada ya kujiridhisha kuwa haina uwezo wa kushindana nao kwa hoja na sera.
Huo ndio ukweli maana bado kinaaminika na wananchi.CHADEMA haifi leo wala kesho