Wanawake wanasema Kimewashuka: Threads za Lissu aanzishe chama, wamefarakana, Lema sijui na Kigaila kawaje zimeisha jana baada ya Hotuba ya Mbowe

Mbowe:

1. Chama hai lazima kiwe na minyukano ya ndani
2. Sisi ni binadamu makosa yapo ya yanatatuliwa
3. Kutofautiana kimawazo ni kusonga mbele
4. Hakuna ufa wa kutugawa, ukitokea tutaudhibiti
5. Mahakama zinatuangusha
5. Ongeza Erythrocyte

Ukiondoa kesi ya Justice of appeal Mugasha ya uchaguzi bado court of appeal kuna ka haki kanatendeka... just read the judgments
Tuhuma za lisu zinajibiwa lini?
 
Ishakufa mkuu limebaki kuwa genge la masela wa kaskazini na sio chama tena
CCM ndiyo imekufa kama chama cha siasa, kwa sasa CCM ni genge la kigaidi linalotawala kwa mabavu ya vyombo vya dola tu kwani haina ushawishi tena kwa wapiga kura ndiyo maana imewaengua wagombea wa upinzani baada ya kujiridhisha kuwa haina uwezo wa kushindana nao kwa hoja na sera.
 
Tatizo mlikosa wagombea mkawa mnaokoteza wahuni ndo maana wengi wametolewa kisa kwenye daftari la wapiga kura hawajajiandikisha ila wanagombea .
 
CCM ndiyo imekufa kama chama cha siasa, kwa sasa CCM ni genge la kigaidi linalotawala kwa mabavu ya vyombo vya dola tu kwani haina ushawishi tena kwa wapiga kura ndiyo maana imewaengua wagombea wa upinzani baada ya kujiridhisha kuwa haina uwezo wa kushindana nao kwa hoja na sera.
Tatizo la wapinzani ni hii kuchukua pesa nyuma ya pazia. Kweli tunataka mabadiliko lakini kuna mambo wanafanya nyuma ya pazia. Viongozi wakubwa wa chadema wanaenda na mtu wa ccm nyumbani kwa lissu wakiwa na mabegi ya pesa kumshawishi awe vuguvugu inashangaza.

Lissu nimemuelewa sana kama mtu kachagua kuwa mpinzani basi awe mpinzani kweli na sio kuchukua pesa za watawala nyuma ya pazia.

Sugu mmoja wa waliovuta pesa, kawa mwenyekiti wa Kanda hapo unategemea nini?
 
Una akili finyu sana kama ya mbu. Unaamini kabisa hotuba ya Mbowe imejibu hoja za Lissu!!
 
Back
Top Bottom