ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Mara nyingi utasikia baadhi ya wanawake wakisema wanapenda sana watoto weupe ili wawanyoshe watesi wao yaani wasifiwe watoto wao wazuri.
Lakini cha kushangaza, ukiangalia uchaguzi wao wa wapenzi wengi bado wanapendelea wanaume weusi kuliko weupe kwamba weupe hawako romantic hawawavutii.
Sasa kama ndoto ni kupata mtoto mweupe, kwanini wanaume weupe wasiwe chaguo lao la kwanza? kwani hawajasoma mambo ya genetics.. Mzee ukiona we mweusi tii na mkeo mweusi tii halafu mmepata katoto keupe inabidi ukapime DNA huenda alichepuka.