Wanawake wanatamani watoto weupe ila hawawataki wanaume weupe

Mara nyingi utasikia baadhi ya wanawake wakisema wanapenda sana watoto weupe ili wawanyoshe watesi wao yaani wasifiwe watoto wao wazuri.

Lakini cha kushangaza, ukiangalia uchaguzi wao wa wapenzi wengi bado wanapendelea wanaume weusi kuliko weupe kwamba weupe hawako romantic hawawavutii.

Sasa kama ndoto ni kupata mtoto mweupe, kwanini wanaume weupe wasiwe chaguo lao la kwanza? kwani hawajasoma mambo ya genetics.. Mzee ukiona we mweusi tii na mkeo mweusi tii halafu mmepata katoto keupe inabidi ukapime DNA huenda alichepuka.

Usiwaamini hao mbwa. Demu mmoja alikuwa anakandia mamen weupe kwenye kutafuta mtoto kaenda kutiwa naye apate mimba... Hovyo sana hawa watu.
 
Mara nyingi utasikia baadhi ya wanawake wakisema wanapenda sana watoto weupe ili wawanyoshe watesi wao yaani wasifiwe watoto wao wazuri.

Lakini cha kushangaza, ukiangalia uchaguzi wao wa wapenzi wengi bado wanapendelea wanaume weusi kuliko weupe kwamba weupe hawako romantic hawawavutii.

Sasa kama ndoto ni kupata mtoto mweupe, kwanini wanaume weupe wasiwe chaguo lao la kwanza? kwani hawajasoma mambo ya genetics.. Mzee ukiona we mweusi tii na mkeo mweusi tii halafu mmepata katoto keupe inabidi ukapime DNA huenda alichepuka.
Naniliu nyeupe wala sio tamu haina radha, ila black usiombe upate iliyoshiba unaweza tamani asichomoe hahaha
 
Wanawake ni waongo kikawaida hawapendi wanaume weusi ila wanaogopa kuwa na wanaume weupe kwa sababu ya kuzidiwa mvuto.

Kikawaida wanawake wakiongea kitu ili upate maana geuza kinyume chake.
Umeamua kutoa siri yao...watakusema kama mama alivyosema mafisadi yasemwe mpk yaone aibu
 
Back
Top Bottom