Wanawake wanatamani watoto weupe ila hawawataki wanaume weupe

viazi vyeusi havipo ila tunaangalia ukomavu mfano kama hicho kinaonekana ni kitamu ila kilitakiwa kinyooke kama hili gunia
Simu yako imeshuhudia mengi kwakweli πŸ˜πŸ™Œ
 
Tuchukulie mwanamke ni mkristo au ni muslim.
Idea ya kusema mtoto huyu ni mzuri na mtoto huyu si mzuri inatokea wapi kwa misingi kwamba wanadamu wote waliumbwa kwa sura na Mfano wa Mungu, literally ukisema fulani ni mbaya unamaanisha aliyemuumba ni mbaya na ukisema fulani ni mzuri unamaanisha aliyemuumba ni mzuri.
Kwa hiyo dhana nzima ya uzuri na ubaya ni controversial.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…