Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Huyu lazima ni mwanaume wa Dar hata kama ni Mnyaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu lazima ni mwanaume wa Dar hata kama ni Mnyaki
Yaah!lazima ishukeHata birthrate itashuka mno
hahaha nimecheka sana.mmh unamacho mazuri ?
eti ana macho mazuri ... aha hahaha kazi kweli kwelihahaha nimecheka sana.
Mbona hujagusia rangi ya ngoziHabari ndo hiyo kama kichwa cha habari, lakini ni ukweli mtupu na pia napenda niwahakikishie wanawake sie pale kwa 6 by 6 ni wanyama, tuna pumzi ya mbwa na mikunjo na miguso ya washawasha.
Hii nimeambiwa na wanawake wengi ktk maeneo niliyopita hapa tanzania. Nipo songea matalawe kwa wiki hii na huku ni fujo tu, dada niliyekaa nae jana siti moja kwenye basi kuja huku alishindwa kunivumilia akaniomba namba ya simu, kina dada wananisumbua wakidai nyie madume ya kinyakyusa wengi mna miili ya kiume na macho yenye mvuto, pia wanapenda jinsi tulivyo na uanaume yaani kuwa juu ya mwanamke kimamlaka, tukisema tumesema, Kuwajibika kama mwanaume.
Wanaume wa mbeya na asili ya mbeya, kama inawezekana tupunguze kuwatesa madada.
Amekutana na wa kijini mkuu, anasifiwa macho!!!Wanawake wa mjini wanasifia pesa mkuu
Ati...wavutiwa na macho mamy!mmh unamacho mazuri ?
Wavulana wanaongezeka kwa kasi sana....hii ni hatarinadhani wanume sasa mnzadi kupungua aisee
ni huruma kwa kweliWavulana wanaongezeka kwa kasi sana....hii ni hatari
navutwa na pesa mieAti...wavutiwa na macho mamy!
Najuaga hilo nilifikiri unavutwa na jicho pianavutwa na pesa mie
hapana sivutwi na jicho mimiNajuaga hilo nilifikiri unavutwa na jicho pia
Mzee wa kiepe yai rojorojo, habari yako!Halafu wa mkoani hao, kutwa kuponda wanaume wa dar
Wa Mbeya mnapenda kusifiwa mna macho mazuriMzee wa kiepe yai rojorojo, habari yako!
Huyo kakulia huko Darslum kwenu, mkuu! Vp bado una kiduku kichwani!?Wa Mbeya mnapenda kusifiwa mna macho mazuri
Endelea kujitetea kumbe ndo mlivyo wanaume wa mbeya. Hahaha ndo mtindo wako huo wa kidukuHuyo kakulia huko Darslum kwenu, mkuu! Vp bado una kiduku kichwani!?