Wanawake wanatusifia wanaume wa Mbeya tuna miili ya kiume na macho yenye mvuto.

Wanawake wanatusifia wanaume wa Mbeya tuna miili ya kiume na macho yenye mvuto.

Huyu lazima ni mwanaume wa Dar hata kama ni Mnyaki
1459471908579.jpg
Kama huyu?
 
mi mbona wa uko lakini sisifiwi we kama ukitaka kununua muhindi unatoa hela zote alafu ndo utoe jero lilo katikati lazima utasifiwa ba kumyitu maana ushamba huo bado upo
 
Habari ndo hiyo kama kichwa cha habari, lakini ni ukweli mtupu na pia napenda niwahakikishie wanawake sie pale kwa 6 by 6 ni wanyama, tuna pumzi ya mbwa na mikunjo na miguso ya washawasha.

Hii nimeambiwa na wanawake wengi ktk maeneo niliyopita hapa tanzania. Nipo songea matalawe kwa wiki hii na huku ni fujo tu, dada niliyekaa nae jana siti moja kwenye basi kuja huku alishindwa kunivumilia akaniomba namba ya simu, kina dada wananisumbua wakidai nyie madume ya kinyakyusa wengi mna miili ya kiume na macho yenye mvuto, pia wanapenda jinsi tulivyo na uanaume yaani kuwa juu ya mwanamke kimamlaka, tukisema tumesema, Kuwajibika kama mwanaume.

Wanaume wa mbeya na asili ya mbeya, kama inawezekana tupunguze kuwatesa madada.
Mbona hujagusia rangi ya ngozi
 
vizuri na hayo macho ndio yatalipa bills na kumtunza
 
Watu wanajisifia wana bilion au trilion ngapi we unajisifia mwili na mimacho mh ngoja nikuingie kwenye mwili wako uone unavyopukutika ubaki kama kijiti mi ndo virus bwana wee undelea kushobokewa tu ........ ha ha ha ha maoni 2
 
Back
Top Bottom