Wanawake wanatusifia wanaume wa Mbeya tuna miili ya kiume na macho yenye mvuto.

Wanawake wanatusifia wanaume wa Mbeya tuna miili ya kiume na macho yenye mvuto.

Aaaa,sikafunje (hazijavunjwa)!!!
 
Ukipata nafasi ya kujisifia jisifie ukisubiri kusifiwa itakula kwako mpaka unakwenda kaburin
 
Habari ndo hiyo kama kichwa cha habari, lakini ni ukweli mtupu na pia napenda niwahakikishie wanawake sie pale kwa 6 by 6 ni wanyama, tuna pumzi ya mbwa na mikunjo na miguso ya washawasha.

Hii nimeambiwa na wanawake wengi ktk maeneo niliyopita hapa tanzania. Nipo songea matalawe kwa wiki hii na huku ni fujo tu, dada niliyekaa nae jana siti moja kwenye basi kuja huku alishindwa kunivumilia akaniomba namba ya simu, kina dada wananisumbua wakidai nyie madume ya kinyakyusa wengi mna miili ya kiume na macho yenye mvuto, pia wanapenda jinsi tulivyo na uanaume yaani kuwa juu ya mwanamke kimamlaka, tukisema tumesema, Kuwajibika kama mwanaume.

Wanaume wa mbeya na asili ya mbeya, kama inawezekana tupunguze kuwatesa madada.
pongez kwenu wanaume wa mbeya!
 
Apo mkuu nimeamini coz ata mimi wana nisifia
 
Hizi ndio post za kusoma, hats ni wananiganda sana hata tuliochana nikiomba gem napewa bila chenga
 
Wanaume wa MBEYA Mnapenda sana sifa hiyo ndo sifa namba moja, kuongea ongea sana, mengine hayana kichwa wala miguu, hata mkienda sehem ikifika time ya lishe hiyo chakula atakachoagiza, Ugali, bamia, samaki wa mchuzi, samaki mkavu, yai la kuchemsha yani hapo mmetoka tu for dinner or something, kwanza hiyo dinner lazima akupeleke mazingira ambayo atapata hiyo milo mara chips mayai (zege) na bia ndo mana wengi wana vitambi visivyoeleweka.
 
Wewe lazima utakuwa Mbeya jina, mana hizi tabia za wavulana wa dar.
 
Tumewasifia au unajisifia?
Kwa taarifa yako wanaume wa Mbeya wala hata hamnaga sifa ya kupendwa na wanawake.
Wanawake tunapenda wanaume wa kanda ya ziwa na kaskazini. Huko mbeya labda mnapendwa na wakinga.
Halafu mwanaume unajisifiaje una macho ya kulegea mkuu?
 
wachawi wakubwa na wanga hao hakuna mwenye time nao sura mbaya ,roho mbaya ndugu zake shetani hao wanyakyusa
 
wachawi wakubwa na wanga hao hakuna mwenye time nao sura mbaya ,roho mbaya ndugu zake shetani hao wanyakyusa

Hahahahaha.. halafu wanavyopenda sifa sasa. Yani wakitoka wahaya wanafuata hawa kujisifia. Bora sasa wahaya wajisifie maana wanapesa na elimu mbeya labda wajisifie sababu wanaendekeza uchawi sana.
 
Hahahahaha.. halafu wanavyopenda sifa sasa. Yani wakitoka wahaya wanafuata hawa kujisifia. Bora sasa wahaya wajisifie maana wanapesa na elimu mbeya labda wajisifie sababu wanaendekeza uchawi sana.
ahahaaa kuzimu nasikia ipo mbeya
 
Back
Top Bottom