kuduman201036
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 4,058
- 2,175
Tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaa na gozi lako hivyo hivyo au............?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku kwetu vichwa vina sugu utosini kwa kubeba kuni, hata nywele hazioti! Kiduku hakina fulsa kwetu!Endelea kujitetea kumbe ndo mlivyo wanaume wa mbeya. Hahaha ndo mtindo wako huo wa kiduku
Duu umetudharau kinyama yaaniMbeya pia kumbe kuna wanaume!
pongez kwenu wanaume wa mbeya!Habari ndo hiyo kama kichwa cha habari, lakini ni ukweli mtupu na pia napenda niwahakikishie wanawake sie pale kwa 6 by 6 ni wanyama, tuna pumzi ya mbwa na mikunjo na miguso ya washawasha.
Hii nimeambiwa na wanawake wengi ktk maeneo niliyopita hapa tanzania. Nipo songea matalawe kwa wiki hii na huku ni fujo tu, dada niliyekaa nae jana siti moja kwenye basi kuja huku alishindwa kunivumilia akaniomba namba ya simu, kina dada wananisumbua wakidai nyie madume ya kinyakyusa wengi mna miili ya kiume na macho yenye mvuto, pia wanapenda jinsi tulivyo na uanaume yaani kuwa juu ya mwanamke kimamlaka, tukisema tumesema, Kuwajibika kama mwanaume.
Wanaume wa mbeya na asili ya mbeya, kama inawezekana tupunguze kuwatesa madada.
hahahahahhahahammh unamacho mazuri ?
wachawi wakubwa na wanga hao hakuna mwenye time nao sura mbaya ,roho mbaya ndugu zake shetani hao wanyakyusaTumewasifia au unajisifia?
Kwa taarifa yako wanaume wa Mbeya wala hata hamnaga sifa ya kupendwa na wanawake.
Wanawake tunapenda wanaume wa kanda ya ziwa na kaskazini. Huko mbeya labda mnapendwa na wakinga.
Halafu mwanaume unajisifiaje una macho ya kulegea mkuu?
wachawi wakubwa na wanga hao hakuna mwenye time nao sura mbaya ,roho mbaya ndugu zake shetani hao wanyakyusa
ahahaaa kuzimu nasikia ipo mbeyaHahahahaha.. halafu wanavyopenda sifa sasa. Yani wakitoka wahaya wanafuata hawa kujisifia. Bora sasa wahaya wajisifie maana wanapesa na elimu mbeya labda wajisifie sababu wanaendekeza uchawi sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amekutana na wa kijini mkuu, anasifiwa macho!!!