Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
itakua we ni mfupiKiukweli ninapenda wanaume warefu.niwe mkweli tu.
Sasa Firdaus9, kwa hii comment yako kweli tutafika pepo ya Firdaus..!!?Wanawake warefu tunapenda mwanaume walotuzidi urefu ili twende sawa mwanaume akiwa mfupi kwa mwanamke wake changamoto
But no love and womanizersRich,tall,dark and handsome that's full package
Kwahiyo we ni mrefu?Wanawake warefu tunapenda mwanaume walotuzidi urefu ili twende sawa mwanaume akiwa mfupi kwa mwanamke wake changamoto
Ongeza na kitambi.Sisi wanaume wafupi vibatari tupite wap kwenye huu uziπ
Yeye kaona wanaume wembamba na warefu tu. Huu si ubaguzi mchana kweupe. .Ongeza na kitambi.