Wanawake wanavyodanganywa na kudanganyana kuhusu ulimwengu wa kiroho kati yao na Wanaume.

Wanawake wanavyodanganywa na kudanganyana kuhusu ulimwengu wa kiroho kati yao na Wanaume.

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,903
Reaction score
3,139
DHANA YA KUELEZEA MAMBO KWENYE USAWA imewagharimu sana Wanawake hususan linapokuja suala la kuelezea masuala ya muundo wa kiroho kati yao na Wanaume. Wanadhani gharama ya ZINAA inavyomuathiri Mwanamke ni sawia linavyomuathiri Mwanamume. Wanashindwa kuelewa kuwa, miili yetu ina operate kwenye mitindo tofauti.

Watengeneza maudhui mtandaoni, wanajifariji kwa kuwadanganya Wanawake kupitia uongo wanaosema kuhusu gharama za zinaa kwa Wanaume, kwamba Mwanamume kadiri anavyofanya zinaa anafunga riziki zake, anapitia laana ya kizazi, anakutana na mgomo kwenye shuguli zake za kila siku na similarily anavyopitia Mwanamke.

Wakina dada, msilaghaiwe, miili yenu imeumbwa na kuumbika tofauti sana, MUNGU ambaye amewaumba ninyi, ameifanya miili yenu kuwa HOLY yaani makazi ya roho nyingine, akaweka makazi ya miili mingine na makazi ya roho safi na chafu. Ninyi, mnajiweka kwenye level moja na Wanaume, ambao hata wakienda kwa waganga wanapewa masharti ya kutafuta Wanawake wa kulala nao wanapotaka utajiri, hamuelewi tu; mnakubali kujifananisha na Wanaume ili mjifariji, anayewaambia haya mnawaita Wazinzi kwamba tunatetea uzinzi kwa jinsia yetu. Uzinzi sio mzuri of course, ila ni nyenzo ya ustaarabu kwetu, ila ni makazi ya roho kwenu ndio maana si rahisi kumkuta Mwanamume anapandisha maruhani, mpaka na yeye akianza kuingiliwa kinyume na maumbile.

Kiufupi mmepumbazwa, endeleeni kuwasikiliza kwa sababu mnarahisisha mtindo wa maisha ya Wanaume wahuni, access inakuwa rahisi kidogo.

REGARDS
 
Umeandika kitu kigumu katika namna isiyo rahisi wengi kuelewa. Wengi hawataelewa
 
Back
Top Bottom