Wanawake wanawapenda wanaume wahuni

[emoji1787] au muhuni anajua set ya cosrx snail woiii ebu watuache tunatunza uso zetu kwa gharama sana tuepukane na makunyazi mashangazi sisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dear jomoneee wahuni wengine wananunua wao mbna.
 
Tembelea maeneo ya vyuoni huko kwenye warembo wengi uone kama hao wahuni wana nafasi ya kupendwa mpaka semister inaisha hutojua dem anatoka na nani mana huwa wanachukuliwa na Ndinga tu za maboss hutowajua
Kumbe hata hujui, wadada wa vyuo kwa ma sponsor wanafata hela tyuuh, ila mapenzi yako kwa masela na wahuniii.

Nikupee poleeee wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tembelea maeneo ya vyuoni huko kwenye warembo wengi uone kama hao wahuni wana nafasi ya kupendwa mpaka semister inaisha hutojua dem anatoka na nani mana huwa wanachukuliwa na Ndinga tu za maboss hutowajua
Wewe haujui uhuni unao ongelewa Hapa... Nadhani Focus yako ipo Kwa hawa masela Koko...
 
Ccm ndio inapenda mada kama hz. Kuliko mkijadili report y CAG au katiba mpya
 
Vice versa is true hata sisi wanaume wastaarabu tunapenda sana mademu wahuni wahuni... Yani mi napenda demu wenge wenge hivi yani akae kimalaya Malaya yaani mi naenjoy sana
 
Hili ni ukweli mtupu , wahuni wanapendwa Kwa kuwa sio waoga na hawaendeshwi na mwanamke, wao wanaendesha maisha Yao tofauti na vijana wenye mipango, Hawa wanaona kuwa romantic na kutoa zawadi nyingi na kuruhusu mwanamke ashike usukani wa maisha yake ndo itamfanya mwanamke ampende ila pia kuna vijana wenye mipango na ni wahuni, mfano Diamond na Elon musk.
Hapa sizungumzii uhuni wa kuvuta madawa ya kulevya ila playboys.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…